Ushauri : Pascal Mayalla kwa uwezo na uzoefu wako wa uchambuzi na uandishi ukichanganya na elimu yako ya sheria , huoni ipo haja ya kuanzisha taasisi yako ya ushauri wa kisheria?Mimi sio wakili, mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na amini usiamini hivi ninavyo wasaidia humu jf ni msaada mkubwa sana!.
P
Mkuu Sexless, hili neno!..Ushauri : Pascal Mayalla kwa uwezo na uzoefu wako wa uchambuzi na uandishi ukichanganya na elimu yako ya sheria , huoni ipo haja ya kuanzisha taasisi yako ya ushauri wa kisheria?
Ili watu kama akina Halima wangekuja kupata ushauri kabla ya kukurupuka kwenda kufungua jalada la kesi ambayo kwa jicho lako la kibobezi tayari washashindwa hata kabla ya kusikilizwa.
Pascal MayallaWanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua uanachama na baadae kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC yao. Wakakimbilia mahakamani ili kutafuta haki, na huko Mahakamani kwa mara ya kwanza waligonga mwamba na sasa wamefile kesi nyingine.
Sauti hii "The Voices From Within" imeniambia " Safari hii huko Mahakamani pia Watashindwa Tena!" Sababu ni Kuwatumia Mawakili ambao ni mawakili tuu. Kuna mawakili na mawakili bora. Hii kesi ilihitaji Mawakili Bora wa calbre ya Murtaza Lakha. Jee kwenye safu ya mawakili wetu Tanzania, Jee tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?. Kama wapo, please Jitokezeni Kusaidia ili kuepusha hukumu ya karma kuwashukia wahusika wa kadhia hii.
Mtu ukikosa haki kwenye Taasisi yako, ukakimbilia mahakamani, ili upate haki, ukakosa haki mahakamani, jee uende wapi baada ya hapo?.
Kitachobaki ni kitu kimoja tuu kumuachia Mungu ambaye ndiye pekee hutoa hukumu za haki kupitia kitu kinachoitwa karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Leo mchana huu, nilikuwa napitia bandiko fulani, mara nikaisikia sauti, "the voices from within" ikinieleza kuwa japo wamefile upya kesi, lakini Watashindwa tena and this time it will be fatal, hivyo uamuzi hautakuwa struck out kama mwanzo, this time the case will be dismissed entirely on its totality and kila mmoja will bear his own costs!.
The voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni!. Sasa kabla hata hiyo kesi mpya haijapangiwa siku ya kusikilizwa, natoa wito kwa manguli wa sheria, hata kama hawajawa contracted, wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada, ili watendewe haki.
Kwa jinsi nilivyoisoma ile hukumu, kusema ukweli wanawatumia mawakili wenye uwezo mdogo au wa wastani sana kiasi kwamba kuna baadhi ya makosa ni silly mistakes, hivyo mtu aliyefanya silly mistakes kama zile, hata akirejebisha makosa na ku file tena, I doubt kama atakuwa na uwezo wa kuargue kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili mawakili kweli ambao ni mawakili bora na sio hawa ma bora wakili wanaofile kesi kwa makosa ya kijinga kabisa na kupeleka mahakama ku struck out!. Leo mpaka nimemkumbuka Wakili Murtaza Lakha.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori hivyo naomba kuikatiza kwanza hii mada, nianze na mastory mastory ya Pasco Mayalla, halafu nije kumrudia Wakili Murtaza Lakha kisha ndio ni drive home hoja yangu. Hivyo kama wewe sio mtu wa mastori mastori, ishia hapa halafu rukia kule chini
Sasa ndio narejea baada ya mastory mastory ya Pasco Mayalla.
As days go by nikiangalia mienendo ya baadhi ya kesi, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha, nimejiridhisha hata fani ya sheria nayo imevamiwa, kila mtu mwenye LL.B, anaweza kuwa wakili.
Japo kila mtu mwenye LL.B anaweza kuwa wakili, na fani ya uwakili imevamiwa, ili kuwa wakili mzuri, zaidi ya kuwa admitted kwenye Bar, lazima pia uwe na uwezo fulani na kipawa fulani.
Kwa haya yanayoendekea mahakamani sasa, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha alikuwa ni wakili mzuri, kama sio Murtaza Lakha, Mzee wangu asingetoka!.
Ile sauti ilioniambia Watashindwa tena kesi sababu ya kuwatumia mawakili ili mradi ni mawakili tuu, badala ya kuwatumia mawakili bora, wao wanawatumia na bora wakili!.
Kwa vile mhusika mkuu wa kesi hiyo na yeye pia ni mwasheria, nilitaraji kwa vile Zitto Kabwe na yeye pia aliwahi kutimuliwa na chama kile kile kwa mtindo ule ule wa a Kangaroo Court, Zitto alifungua kesi hivyo hivyo na kesi yake ilitupwa katika hatua za awali, hivyo Bi dada alipoamua kufungua kesi hii ilipofunguliwa tulitaraji wangewatumia mawakili manguli wa sheria na sio wakili tuu alimradi ni wakili.
Hata kwa majaji wetu, niliwahi kusema kitu kuhusu utoaji haki na uwezo wa baadhi ya majaji Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Kitendo tuu cha shauri kuwa struck of fatal procedural improperity ni uthibitisho tosha wa mawakili wenye uwezo wa wastani?.
Natoa wito kwa manguli wa sheria wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada ili watendewe haki, lengo la kuwasaidia watendewe haki sio tuu ili kuwatendea haki hawa Wabunge 19 bali kuiepuka adhabu ya karma itakayo itandika chama chao na viongozi wake, kufuatia the consequences of karma ya Zitto kwa chama hicho na viongozi wake, wasipotendewa haki, the karma consequences will be bad, big and devastating!.
Paskali
Mkuu Tindo, kwanza niendelee kutoa appreciation kwako kwa kuchangia nyuzi zangu mbalimbali kwa michango very objective. Kwenye uzi huu nimesema kuna kesi na kesi na kuna mawakili na mawakili, sio kila wakili anaweza kila kesi, hizi kesi za kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili, ambao ni mawakili kweli ambao ni mawakili bora wa calibre ya Murtaza Lakha na sio hawa ma bora-wakili, na hili la Watanzania wanapokuwa na kesi fulani, hawajui waende kwa wakili gani ni tatizo!, hata ile kesi ya ugaidi ya Mbowe, tungekuwa na mawakili wa calibre ya Murtaza Lakha, ile kesi inaanza tuu, ilikuwa iishe next hearing kwa DPP kuleta nolle!, haikupaswa hata kufikia stage ya guilty verdict na Mbowe kuonekana has a case to answer ila DPP ndio kaokoa jahazi kwa nolle.
Elimu ya sheria, a possession of an LL.B is one thing, practicing sheria is another thing, and being good is quite another.
Kuna watu kibao they possess excellent LL.B and they don't practice mimi being one of them, LL.B yangu ni Hons!. Kuna wengi wana practice and they are not good at all!. Huyu nguli Murtaza Lakha, ninayemtaja hapa, he doesn't even possess a law degree!. Hivyo kusoma sheria, kupata LL.B, na kuwa wakili, does not guarantee you can be the best, hivyo naomba usitutake mimi na Halima tuthibitishe hizi elimu zetu za sheria, possession is one thing, practicing is another and being good quite another.
Sijamlaumu Halima kumpa wakili dhaifu, nimesema kwa vile kesi kama hii kuna precedent ya Zitto, Halima should have known better!. Kwenye kesi kama hii, Zitto alijikwaa, akaanguka, Halima kabla hajafungua kesi kama hii, alipaswa aangalie Zitto alijikwaa wapi na sio kuangalia alipoangukia, sasa Halima ameanzia hapo hapo Zitto alipoangukia, badala pale alipojikwaa, hivyo Halima alifika pale Ziito alipojikwa, na yeye akajikwaa pale pale na akaanguka vile vile!.
Mimi sijisisifu bali hutoa tuu facts kuwa mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea ambaye pia ni holder wa an LL.B (Hons) mwenye Msonge wa LW. 100 Constitutional law ambayo haya mambo writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, ndimo mwake mwake.
Kama kusema kuwa una LL.B (Hons) na A ya constitutional law ni kujisifu, nimesema kule juu na hapa nasema tena na tena, possession of an LL.B is one thing, lakini uwezo ni something else.
Uwezo ni ability, namna ya means za kuutumia huo uwezo ni capacity, na namna ya kuutumia huo uwezo ni capability. Mimi ndio ninajijua nina uwezo gani yaani the ability, the capacity and the capabilities, akiibuka mtu akakubeza kwa sababu hujaonyesha, kitu cha kufanya ni sio kuendelea kusema au kuonyeshea ili watu waone bali ni kumwambia tuu "thank you".
Thank you Mkuu Tindo
Mimi sio wakili, mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na amini usiamini hivi ninavyo wasaidia humu jf ni msaada mkubwa sana!.
P
Eti hawakutendewa haki!Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua uanachama na baadae kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC yao. Wakakimbilia mahakamani ili kutafuta haki, na huko Mahakamani kwa mara ya kwanza waligonga mwamba na sasa wamefile kesi nyingine.
Sauti hii "The Voices From Within" imeniambia " Safari hii huko Mahakamani pia Watashindwa Tena!" Sababu ni Kuwatumia Mawakili ambao ni mawakili tuu. Kuna mawakili na mawakili bora. Hii kesi ilihitaji Mawakili Bora wa calbre ya Murtaza Lakha. Jee kwenye safu ya mawakili wetu Tanzania, Jee tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?. Kama wapo, please Jitokezeni Kusaidia ili kuepusha hukumu ya karma kuwashukia wahusika wa kadhia hii.
Mtu ukikosa haki kwenye Taasisi yako, ukakimbilia mahakamani, ili upate haki, ukakosa haki mahakamani, jee uende wapi baada ya hapo?.
Kitachobaki ni kitu kimoja tuu kumuachia Mungu ambaye ndiye pekee hutoa hukumu za haki kupitia kitu kinachoitwa karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Leo mchana huu, nilikuwa napitia bandiko fulani, mara nikaisikia sauti, "the voices from within" ikinieleza kuwa japo wamefile upya kesi, lakini Watashindwa tena and this time it will be fatal, hivyo uamuzi hautakuwa struck out kama mwanzo, this time the case will be dismissed entirely on its totality and kila mmoja will bear his own costs!.
The voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni!. Sasa kabla hata hiyo kesi mpya haijapangiwa siku ya kusikilizwa, natoa wito kwa manguli wa sheria, hata kama hawajawa contracted, wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada, ili watendewe haki.
Kwa jinsi nilivyoisoma ile hukumu, kusema ukweli wanawatumia mawakili wenye uwezo mdogo au wa wastani sana kiasi kwamba kuna baadhi ya makosa ni silly mistakes, hivyo mtu aliyefanya silly mistakes kama zile, hata akirejebisha makosa na ku file tena, I doubt kama atakuwa na uwezo wa kuargue kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili mawakili kweli ambao ni mawakili bora na sio hawa ma bora wakili wanaofile kesi kwa makosa ya kijinga kabisa na kupeleka mahakama ku struck out!. Leo mpaka nimemkumbuka Wakili Murtaza Lakha.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori hivyo naomba kuikatiza kwanza hii mada, nianze na mastory mastory ya Pasco Mayalla, halafu nije kumrudia Wakili Murtaza Lakha kisha ndio ni drive home hoja yangu. Hivyo kama wewe sio mtu wa mastori mastori, ishia hapa halafu rukia kule chini
Sasa ndio narejea baada ya mastory mastory ya Pasco Mayalla.
As days go by nikiangalia mienendo ya baadhi ya kesi, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha, nimejiridhisha hata fani ya sheria nayo imevamiwa, kila mtu mwenye LL.B, anaweza kuwa wakili.
Japo kila mtu mwenye LL.B anaweza kuwa wakili, na fani ya uwakili imevamiwa, ili kuwa wakili mzuri, zaidi ya kuwa admitted kwenye Bar, lazima pia uwe na uwezo fulani na kipawa fulani.
Kwa haya yanayoendekea mahakamani sasa, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha alikuwa ni wakili mzuri, kama sio Murtaza Lakha, Mzee wangu asingetoka!.
Ile sauti ilioniambia Watashindwa tena kesi sababu ya kuwatumia mawakili ili mradi ni mawakili tuu, badala ya kuwatumia mawakili bora, wao wanawatumia na bora wakili!.
Kwa vile mhusika mkuu wa kesi hiyo na yeye pia ni mwasheria, nilitaraji kwa vile Zitto Kabwe na yeye pia aliwahi kutimuliwa na chama kile kile kwa mtindo ule ule wa a Kangaroo Court, Zitto alifungua kesi hivyo hivyo na kesi yake ilitupwa katika hatua za awali, hivyo Bi dada alipoamua kufungua kesi hii ilipofunguliwa tulitaraji wangewatumia mawakili manguli wa sheria na sio wakili tuu alimradi ni wakili.
Hata kwa majaji wetu, niliwahi kusema kitu kuhusu utoaji haki na uwezo wa baadhi ya majaji Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Kitendo tuu cha shauri kuwa struck of fatal procedural improperity ni uthibitisho tosha wa mawakili wenye uwezo wa wastani?.
Natoa wito kwa manguli wa sheria wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada ili watendewe haki, lengo la kuwasaidia watendewe haki sio tuu ili kuwatendea haki hawa Wabunge 19 bali kuiepuka adhabu ya karma itakayo itandika chama chao na viongozi wake, kufuatia the consequences of karma ya Zitto kwa chama hicho na viongozi wake, wasipotendewa haki, the karma consequences will be bad, big and devastating!.
Paskali
Acha ujinga wewe mburula. Mbowe kakutwa na hatia ila kaachiwa sababu rais Samia kaingili mhimili wa mahakama.
Hoja hapa ni kuwa sasa hivi mawakili wengi ni weupe kichwani. Yaani hata ishu ndogo kama kufile judicial review unakosea namna hii?
Mawakili wengi hawajui kujenga hoja na kuzitetea kwa mujibu wa sheria. Acha ushabiki wako wewe.
Wanakuwa wa hovyo wakifanya maamuzi machache ambayo hatuyapendi.Taifa lina majaji/ mahakimu wa hovyo kabisa kizazi hiki.
Mawakili wa hoyo kabisa hata kusoma sidhani kama wanasoma.
Locus standi.
Acha kuwadhalilisha wanasheria wenzakoThe voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni
Mkuu Liga Lugano5 Hierarchy ya mabosi wa mkoa kiusalama ni
Hivi ni umri umekufanya akili kudumaa au ni niniWanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua uanachama na baadae kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC yao. Wakakimbilia mahakamani ili kutafuta haki, na huko Mahakamani kwa mara ya kwanza waligonga mwamba na sasa wamefile kesi nyingine.
Sauti hii "The Voices From Within" imeniambia " Safari hii huko Mahakamani pia Watashindwa Tena!" Sababu ni Kuwatumia Mawakili ambao ni mawakili tuu. Kuna mawakili na mawakili bora. Hii kesi ilihitaji Mawakili Bora wa calbre ya Murtaza Lakha. Jee kwenye safu ya mawakili wetu Tanzania, Jee tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?. Kama wapo, please Jitokezeni Kusaidia ili kuepusha hukumu ya karma kuwashukia wahusika wa kadhia hii.
Mtu ukikosa haki kwenye Taasisi yako, ukakimbilia mahakamani, ili upate haki, ukakosa haki mahakamani, jee uende wapi baada ya hapo?.
Kitachobaki ni kitu kimoja tuu kumuachia Mungu ambaye ndiye pekee hutoa hukumu za haki kupitia kitu kinachoitwa karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Leo mchana huu, nilikuwa napitia bandiko fulani, mara nikaisikia sauti, "the voices from within" ikinieleza kuwa japo wamefile upya kesi, lakini Watashindwa tena and this time it will be fatal, hivyo uamuzi hautakuwa struck out kama mwanzo, this time the case will be dismissed entirely on its totality and kila mmoja will bear his own costs!.
The voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni!. Sasa kabla hata hiyo kesi mpya haijapangiwa siku ya kusikilizwa, natoa wito kwa manguli wa sheria, hata kama hawajawa contracted, wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada, ili watendewe haki.
Kwa jinsi nilivyoisoma ile hukumu, kusema ukweli wanawatumia mawakili wenye uwezo mdogo au wa wastani sana kiasi kwamba kuna baadhi ya makosa ni silly mistakes, hivyo mtu aliyefanya silly mistakes kama zile, hata akirejebisha makosa na ku file tena, I doubt kama atakuwa na uwezo wa kuargue kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili mawakili kweli ambao ni mawakili bora na sio hawa ma bora wakili wanaofile kesi kwa makosa ya kijinga kabisa na kupeleka mahakama ku struck out!. Leo mpaka nimemkumbuka Wakili Murtaza Lakha.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori hivyo naomba kuikatiza kwanza hii mada, nianze na mastory mastory ya Pasco Mayalla, halafu nije kumrudia Wakili Murtaza Lakha kisha ndio ni drive home hoja yangu. Hivyo kama wewe sio mtu wa mastori mastori, ishia hapa halafu rukia kule chini
Sasa ndio narejea baada ya mastory mastory ya Pasco Mayalla.
As days go by nikiangalia mienendo ya baadhi ya kesi, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha, nimejiridhisha hata fani ya sheria nayo imevamiwa, kila mtu mwenye LL.B, anaweza kuwa wakili.
Japo kila mtu mwenye LL.B anaweza kuwa wakili, na fani ya uwakili imevamiwa, ili kuwa wakili mzuri, zaidi ya kuwa admitted kwenye Bar, lazima pia uwe na uwezo fulani na kipawa fulani.
Kwa haya yanayoendekea mahakamani sasa, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha alikuwa ni wakili mzuri, kama sio Murtaza Lakha, Mzee wangu asingetoka!.
Ile sauti ilioniambia Watashindwa tena kesi sababu ya kuwatumia mawakili ili mradi ni mawakili tuu, badala ya kuwatumia mawakili bora, wao wanawatumia na bora wakili!.
Kwa vile mhusika mkuu wa kesi hiyo na yeye pia ni mwasheria, nilitaraji kwa vile Zitto Kabwe na yeye pia aliwahi kutimuliwa na chama kile kile kwa mtindo ule ule wa a Kangaroo Court, Zitto alifungua kesi hivyo hivyo na kesi yake ilitupwa katika hatua za awali, hivyo Bi dada alipoamua kufungua kesi hii ilipofunguliwa tulitaraji wangewatumia mawakili manguli wa sheria na sio wakili tuu alimradi ni wakili.
Hata kwa majaji wetu, niliwahi kusema kitu kuhusu utoaji haki na uwezo wa baadhi ya majaji Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Kitendo tuu cha shauri kuwa struck of fatal procedural improperity ni uthibitisho tosha wa mawakili wenye uwezo wa wastani?.
Natoa wito kwa manguli wa sheria wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada ili watendewe haki, lengo la kuwasaidia watendewe haki sio tuu ili kuwatendea haki hawa Wabunge 19 bali kuiepuka adhabu ya karma itakayo itandika chama chao na viongozi wake, kufuatia the consequences of karma ya Zitto kwa chama hicho na viongozi wake, wasipotendewa haki, the karma consequences will be bad, big and devastating!.
Paskali
No sijadhalilisha mwanasheria yoyote, japo kazi kutunga sheria ni kazi ya Mhimili wa Bunge, mahakama pia inatunga sheria kwa maamuzi yake mbalimbali yanayoitwa presedents, jinsi Halima Mdee alivyotinuliwa Chadema ni jinsi hiyo hiyo alivyotimuliwa Zitto, CC ya Chadema haina mamlaka ya kumvua uanachama NKM au Mwenyekiti wa Bawacha. Hivyo Zitto hakutendewa haki, akafile kesi kwa makosa, ikatupwa!. Tulitegemea Mdee ambaye ni mwanasheria kutumia more competent Lawyers ambao watatumia precedence ya hukumu ya Zitto kutorudia makosa!.Acha kuwadhalilisha wanasheria wenzako
Paskali zimemtoka baada ya mjombake mwendazake kwenda zakeWatashindwa sio kwasababu ya mawakili, bali watashindwa kwasababu haki haipo upande wao.
Kama walishindwa wote waliokuwa na kesi kama yao, kwanini nao wasishindwe?
Wacha kupeleka lawama zako pasipostahili ili kuficha madhaifu ya chama chako, na spika wenu, nyie ni wavunjifu wa sheria.
Uko sahihi mkuu.
Viwango duni.
Ila sikutaka kusema hayo maana wale wanabiashara na wanawateja.
Japo nimesoma sheria lakini mimi sio wakili, mimi ni Mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, huku tuu ninakoandika humu na magazetini ni msaada toshaWewe kila siku unajinasibu hapa umesomea sheria na Betina alikuwa Mwl wako UDSM,huu ndiyo ulikuwa muda wako muafaka wa kuonyesha kile ulichopata UDSM kwa kuwatetea hawa COViD 19.
Jee unajua huyo jamaa yangu aliondoshwa na nini?. Karma is real!.Alf suala la Karma kuna jamaa aliwahi kukuita njaa, aliondoka akaiacha Chadema,
Karma sio kwa Chadema only, kuna karma za aina nyingi kuna institutional karma ambayo inakitandika chama na kuna individual karma inayowatandika viongozi wake individually.sasa usipende sana kutumia hilo neno.
Sasa hii Karma ni kwa Chadema tu.
Acha ujinga wewe mburula. Mbowe kakutwa na hatia ila kaachiwa sababu rais Samia kaingili mhimili wa mahakama.
Hoja hapa ni kuwa sasa hivi mawakili wengi ni weupe kichwani. Yaani hata ishu ndogo kama kufile judicial review unakosea namna hii?
Mawakili wengi hawajui kujenga hoja na kuzitetea kwa mujibu wa sheria. Acha ushabiki wako wewe.
Hatujui cha Murtaza wala nani! Unashindwaje kusema mawakili wa calbre ya Kibatala?! Ungetakiwa umalize unafiki ujanani, saa hizi ungekuwa mchawi, Pasco! Karma ni kwa aliye sababisha uchafuzi, yakapatikana haya mazao yaitwayo covid-19, na wafuasi wake wote, wewe ukiwa mmojawao, Kangaruu jike!Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua uanachama na baadae kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC yao. Wakakimbilia mahakamani ili kutafuta haki, na huko Mahakamani kwa mara ya kwanza waligonga mwamba na sasa wamefile kesi nyingine.
Sauti hii "The Voices From Within" imeniambia " Safari hii huko Mahakamani pia Watashindwa Tena!" Sababu ni Kuwatumia Mawakili ambao ni mawakili tuu. Kuna mawakili na mawakili bora. Hii kesi ilihitaji Mawakili Bora wa calbre ya Murtaza Lakha. Jee kwenye safu ya mawakili wetu Tanzania, Jee tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?. Kama wapo, please Jitokezeni Kusaidia ili kuepusha hukumu ya karma kuwashukia wahusika wa kadhia hii.
Mtu ukikosa haki kwenye Taasisi yako, ukakimbilia mahakamani, ili upate haki, ukakosa haki mahakamani, jee uende wapi baada ya hapo?.
Kitachobaki ni kitu kimoja tuu kumuachia Mungu ambaye ndiye pekee hutoa hukumu za haki kupitia kitu kinachoitwa karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Leo mchana huu, nilikuwa napitia bandiko fulani, mara nikaisikia sauti, "the voices from within" ikinieleza kuwa japo wamefile upya kesi, lakini Watashindwa tena and this time it will be fatal, hivyo uamuzi hautakuwa struck out kama mwanzo, this time the case will be dismissed entirely on its totality and kila mmoja will bear his own costs!.
The voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni!. Sasa kabla hata hiyo kesi mpya haijapangiwa siku ya kusikilizwa, natoa wito kwa manguli wa sheria, hata kama hawajawa contracted, wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada, ili watendewe haki.
Kwa jinsi nilivyoisoma ile hukumu, kusema ukweli wanawatumia mawakili wenye uwezo mdogo au wa wastani sana kiasi kwamba kuna baadhi ya makosa ni silly mistakes, hivyo mtu aliyefanya silly mistakes kama zile, hata akirejebisha makosa na ku file tena, I doubt kama atakuwa na uwezo wa kuargue kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili mawakili kweli ambao ni mawakili bora na sio hawa ma bora wakili wanaofile kesi kwa makosa ya kijinga kabisa na kupeleka mahakama ku struck out!. Leo mpaka nimemkumbuka Wakili Murtaza Lakha.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori hivyo naomba kuikatiza kwanza hii mada, nianze na mastory mastory ya Pasco Mayalla, halafu nije kumrudia Wakili Murtaza Lakha kisha ndio ni drive home hoja yangu. Hivyo kama wewe sio mtu wa mastori mastori, ishia hapa halafu rukia kule chini
Sasa ndio narejea baada ya mastory mastory ya Pasco Mayalla.
As days go by nikiangalia mienendo ya baadhi ya kesi, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha, nimejiridhisha hata fani ya sheria nayo imevamiwa, kila mtu mwenye LL.B, anaweza kuwa wakili.
Japo kila mtu mwenye LL.B anaweza kuwa wakili, na fani ya uwakili imevamiwa, ili kuwa wakili mzuri, zaidi ya kuwa admitted kwenye Bar, lazima pia uwe na uwezo fulani na kipawa fulani.
Kwa haya yanayoendekea mahakamani sasa, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha alikuwa ni wakili mzuri, kama sio Murtaza Lakha, Mzee wangu asingetoka!.
Ile sauti ilioniambia Watashindwa tena kesi sababu ya kuwatumia mawakili ili mradi ni mawakili tuu, badala ya kuwatumia mawakili bora, wao wanawatumia na bora wakili!.
Kwa vile mhusika mkuu wa kesi hiyo na yeye pia ni mwasheria, nilitaraji kwa vile Zitto Kabwe na yeye pia aliwahi kutimuliwa na chama kile kile kwa mtindo ule ule wa a Kangaroo Court, Zitto alifungua kesi hivyo hivyo na kesi yake ilitupwa katika hatua za awali, hivyo Bi dada alipoamua kufungua kesi hii ilipofunguliwa tulitaraji wangewatumia mawakili manguli wa sheria na sio wakili tuu alimradi ni wakili.
Hata kwa majaji wetu, niliwahi kusema kitu kuhusu utoaji haki na uwezo wa baadhi ya majaji Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Kitendo tuu cha shauri kuwa struck of fatal procedural improperity ni uthibitisho tosha wa mawakili wenye uwezo wa wastani?.
Natoa wito kwa manguli wa sheria wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada ili watendewe haki, lengo la kuwasaidia watendewe haki sio tuu ili kuwatendea haki hawa Wabunge 19 bali kuiepuka adhabu ya karma itakayo itandika chama chao na viongozi wake, kufuatia the consequences of karma ya Zitto kwa chama hicho na viongozi wake, wasipotendewa haki, the karma consequences will be bad, big and devastating!.
Paskali
Mkuu Paskali, nilikuwa nje ya DSM ndiyo naweza ku comment sasa baada ya kutulia.Wanabodi,

Mkuu Paskali, nilikuwa nje ya DSM ndiyo naweza ku comment sasa baada ya kutulia.
Inaelekea una some sort of personal attraction to Mdee and the 18.
Tatizo lililopo kisheria ni jinsi Mdee and the 18, walivyofika pale walipo.
Sasa mwanasheria anayeweza kutetea forgery ya nyaraka zilizowakilishwa bungeni kwa Ndugai, naye akazikubali, huyo mwanasheria atakuwa kiboko.
Kwa jinsi ndugu yangu Paskali unavyoliweka syala inaelekea ume kuwa subjective, na siyo objective.