The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

Mayalla serious unachekesha, kama umeweza kujua jamaa watashindwa kesi, maana yake umeujua udhaifu ulipo, sasa kwanini usiende kuwashauri mawakili wa kina Mdee nini cha kufanya, au wewe binafsi ukavae yale magauni meusi usimame kuwatetea mahakamani, badala ya kuendelea kulalamika hapa JF juu ya udhaifu wa mawakili wetu?

Nakuona unatuchezea "mind games" tu hapa, ili siku ikifika wakashindwa kesi hao jamaa useme ni kwasababu ya "udhaifu wa mawakili", wakati ukweli ni kwamba madai yao hayana msingi wowote, au uwe unaingilia kesi iliyoko mahakamani kwa maslahi yenu, anyway, unajitahidi kufanya propaganda kwa maslahi ya chama chako.
 
Voices from within au ndio maamuzi toka juu?

Mimi naamini kesi kubwa za kisiasa hua zinaamuliwa nje ya mahakama, hususani kule kwenye mamlaka ya uteuzi na kulipa mishahara. Mahakama zetu hazina uhuru wa kweli.
 


Hapa ni maigizo tu ya mahakama na kupima chama na Mama anataka nini. Tanzania kesi za siasa zinaendeshwa kisiasa sio kitaalamu. Hapa kiukweli hata kesi isingetakiwa kukubaliwa mahakamani.
 
Hivi hiyo "laana' au "karma" huwapata tu watu kwa kuwa tu fulani wewe Pascal Mayalla umsema, au..?

CHADEMA ni karma gani inayowatandika kwa mfano...?
Mkuu The Palm Beach, karma is the law of cause & effects kwa kuhukumiwa kwa matendo yako, ukitenda mema, unalipwa mema, na ukitenda uovu unaafhibiwa!.

The biggest toll ya karma ni kifo.

Kila binadamu kuna mazuri yake na mabaya yake, akitenda mema anabarikiwa, akitenda maovu analaaniwa. Kila kitu kinachomtokea binadamu hapa duniani ni matokeo ya matendo yake.

Kwa upande wa Chama, pia kuna karma za taasisi na karma za viongozi wa taasisi ambazo ndio watoa maamuzi. Taasisi inapotoa maamuzi ya dhulma, taasisi inaadhibiwa na watoa maamuzi nao wanaadhibiwa individually!, wakati wale wanao dhulumiwa karma ikiwafidia kwa kuwabariki.

Angalia baadhi ya viongozi wa Chedema waliofukuzwa bila kutendewa haki, baada ya kutimuliwa Chadema au kujitoa Chadema, angalia walikuja kuwa wapi?.

Angalia ma sterling wa matukio haya kilikuja kuwakuta nini?.

Angalia hali ya sasa ya Chadema kama Chama kikuu cha upinzani huku bara, amini nakuambia mwisho wa siku, Chadema itafanikiwa kuwatimua hawa makamanda mabinti 19 lakini machozi yao jasho na damu walioigharimikia Chadema, hayatapotea bure!, there is a price to pay and Chadema will pay dearly!.

Kwa vile Chadema inayo katiba yake na imeweka taratibu za haki kabisa kushughilikia nidhamu, zikiwemo mamlaka tofauti tofauti za nidhamu kwa viongozi tofauti tofauti, kwanini hazifuatwi?.

Mfano wakati wa kumtimua Zitto, Zitto alikuwa NKM, kwa mujibu wa katiba ya Chadema, mamlaka yake ya nidhamu ni Baraza Kuu na mamlaka yake ya rufaa ni Mkutano Mkuu, mamlaka ya CC ya Chadema ni kumsimamisha tuu na sio kusikiliza shauri lake!, sasa hiyo CC ya Chadema ilimtumua Zitto kwa mamlaka gani?. Angalia Zitto baada ya kutimuliwa alikuwaje na angalia yule sterling wa kutimuliwa Zitto nini kilikuja kumkuta?.

Angalia Kitila Mkumbo baada ya kutimuliwa Chadema alikuja kuwa nani?.
Angalia Juliana Shonza baada ya kutumiwa Chadema alikuja kuwa nani

Hivyo kiukweli kabisa karma ipo and it acts upon us kwa matendo yetu!.

P.
 
You need to go for sanity check sir! A lot of erratic and uncoordinated thinking. Seriously you need a psychiatric!
 
Naona hapa mawakili waliotoka LST wanalaumiwa licha ya kuwa hufaulu wachache sana kila mwaka.
 
Paschal Mayala,wewe ni mtu wa idara ya usalama wa Taifa na ccm wamekupandikiza kwa makusudi humu mitandaoni kwaajili ya kuvuruga movements za Watanzania za kuing'oa ccm na kudai katiba mpya

Hiyo kesi hata mtu asiye maarifa ya sheria anajua ni jinsi gani ccm na hao wasaliti walivyoharibu.Kwa taarifa ni kwamba,kuna baadhi ya wasaliti (ndani ya hao Corvid-19) wanataka kurudi Chadema lkn,wanashindwa kutokana na mazingira mliyowatengenezea...wanaogopa wakirudi Chadema mtawafungulia mashitaka ya uhujumu uchumi!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Dawa ya Uvccm , karibu!.
P
 
Paschal Mayala,wewe ni mtu wa idara ya usalama wa Taifa na ccm wamekupandikiza kwa makusudi humu mitandaoni kwaajili ya kuvuruga movements za Watanzania za kuing'oa ccm na kudai katiba mpya
Mkuu monde arabe, du...!.
Naheshimu freedom of thinking and freedom of expression yako,
Hivyo inawezekana hata siku ile pale Ikulu ni Idara ndiyo ilinituma kumuuliza swali hili Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli bosi wangu?.

Na katika kuisafisha Idara, huyu ni ofisa wa Idara amekuja humu kuisaidia kuisafisha idara TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Na ili kulisafisha Bunge letu, itakuwa ofisa kipenyo huyu alishauriwa kuandika kuhusu Bunge kujipendekeza kwa serukali kisha ikamtuma dodoma Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Na kulipotokea tishio la usalama kwa taifa letu, afisa kipenyo huyu ali copy and paste ripoti ya ofisini na kuimwaga humu jf Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Then kiukweli tutakuwa na TISS ya ajabu sana!.
Kama kila watoto wanaozaliwa na wazazi wote baba na mama ambao ni Tiss na watoto wao ni Tiss then TISS itakuwa na watu wengi sana!, sisi tumezaliwa 8!.
P
 
Huu ushauri sasa umepitwa na wakati, kwasababu hii kesi sasa inakwenda kufutwa na kumalizana nje ya Mahakama.
Update
Hatimaye Chadema wameacha kushupaza shingo na wamekubali matokeo!, kwa kuufuata ushauri wa bandiko hili CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Nimepokea taarifa, hii kutokea twitwani Kisha nikasoma na bandiko hili humu JF Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku

Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.

Iliwa kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.

Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.
Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali
p
 
Duuh! Ama kweli, tuwe tunaweka akiba ya maneno tunapoongelea siasa na wanasiasa. Never say never!
 
Kwa ile hukumu ya jana, I'm dam right!, japo kina Mdee wanaonekana kama wameshinda kesi, kwa kutofukuzwa lakini in reality ni wameshindwa kesi!. Mahakama imekubaliana na maamuzi ya CC ya Chadema kuwatimua!.
P
 
Kwa ile hukumu ya jana, I'm dam right!, japo kina Mdee wanaonekana kama wameshinda kesi, kwa kutofukuzwa lakini in reality ni wameshindwa kesi!. Mahakama imekubaliana na maamuzi ya CC ya Chadema kuwatimua!.
P
Wewe Jamaa tatizo lako Sijui ni nini?

Unaacha kuzionea fedha za Serikali ambazo zinatumika ndivyo sivyo!!,anakuja na blaaa blaaa nyingi!!
 
Wewe Jamaa tatizo lako Sijui ni nini?

Unaacha kuzionea fedha za Serikali ambazo zinatumika ndivyo sivyo!!,anakuja na blaaa blaaa nyingi!!
Mkuu Idofu , vitu vingine ni kujipitia tuu na kuendelea na maisha yako maana vinahitaji kiwango fulani cha uelewa!.

Hizo wewe unazoziona ni bla bla nyingi, kuna wenzako kwao ni madini!.
P
 
Mkuu Idofu , vitu vingine ni kujipitia tuu na kuendelea na maisha yako maana vinahitaji kiwango fulani cha uelewa!.

Hizo wewe unazoziona ni bla bla nyingi, kuna wenzako kwao ni madini!.
P
Haya Mr.P!!,nimekuelewa!!

Hizo fedha zinazotumika kuwalipa hao ni kwako na mimi pia!!,kwa hiyo lazima tuwe na uchungu nazo!
 
Haya Mr.P!!,nimekuelewa!!

Hizo fedha zinazotumika kuwalipa hao ni kwako na mimi pia!!,kwa hiyo lazima tuwe na uchungu nazo!
Mkuu Idofu, wewe ni mwenyeji wa wapi ambaye unaumia kwa wadada kupata fedha?!.
P
 
Mawakili wa sasa hivi anaingia mahakamani hata mteja wake hamjui, walevi, hafanyi utafiti wa kutosha, with very poor office management.

"You win or lose your case in your chamber" Prof Gamalieli Mgongo
 
Kwa ile hukumu ya jana, I'm dam right!, japo kina Mdee wanaonekana kama wameshinda kesi, kwa kutofukuzwa lakini in reality ni wameshindwa kesi!. Mahakama imekubaliana na maamuzi ya CC ya Chadema kuwatimua!.
P
Nina mambo mawili tu kwako Pascal Mayalla mwandishi mbobevu na msomi wa sheria.

Kwanza hiyo kauli ya kwenye Twitter ulituingiza mjini (sitaki kutumia neno ulitudanganya). Itakuwa hukufanya upekuzi wa kutosha kujua kama ni fake ama genuine.

Pili, kufuatia maamuzi ya mahakama ya jana nashawishika kusema taaluma ya sheria hapa barani Afrika imekuwa ikitumika vibaya na watawala. Sheria haijawahi kuwa msaada kwa waafrika. Angalia chadema inachezeshwa shere na sheria kwa jambo ambalo halina maslahi kwa taifa bali kwa chama chako ccm. Inaumiza sana.
 
Nina mambo mawili tu kwako Pascal Mayalla mwandishi mbobevu na msomi wa sheria.

Kwanza hiyo kauli ya kwenye Twitter ulituingiza mjini (sitaki kutumia neno ulitudanganya). Itakuwa hukufanya upekuzi wa kutosha kujua kama ni fake ama genuine.
Mkuu Sexless , ni kweli kwenye ile Twitter, niliingizwa cha kike!, nikaingia mazima!.
Pili, kufuatia maamuzi ya mahakama ya jana nashawishika kusema taaluma ya sheria hapa barani Afrika imekuwa ikitumika vibaya na watawala.
This is true, tumerithi sheria nyingi za kikoloni ambazo ni kandamizi na muendelezo wa colonial legacy, na sio sheria tuu, hata utawala na uendeshaji wa nchi, kama kila mkoa una RC, na RAS, na kila wilaya ina Mkurugenzi na DAS, DC wa nini?!.
Sheria haijawahi kuwa msaada kwa waafrika.
Sheria za kikoloni ndio hazijawahi kuwa msaada kwa Waafrika, lakini Nchi za Afrika wenye sheria zao wenyewe, kama South Africa na Namibia, sheria ni msaada mkubwa sana kwa nchi hizo!.
Angalia chadema inachezeshwa shere na sheria kwa jambo ambalo halina maslahi kwa taifa bali kwa chama chako ccm. Inaumiza sana.
Kati vitu ambavyo mimi nina respect sana ni watu bonafide genuine, wenye kuuona ukweli na kuusema ukweli no matter ukweli huo ni mchungu kiasi gani!.

Katiba ya Chadema iko wazi kabisa kuhusu taratibu za vikao vya nidhamu na kufuta uanachama. Kwanini hazifuatwi?.
Angalia
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…