The waste president ever!!!

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Ndugu yangu, hamna haja ya kumtupia yeyote lawama zaidi ya yule mkubwa wa mabakamabaka wa wa wakati ule mwenyeji wa Magu masanzakona na huyu wa sasa!
Mnaona mtu anaharibu na wakati mmeapa kuilinda katiba?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
JPM NDIO RAIS PEKEE AMBAYE KWA MIAKA MITANO TU, AMEIFANYIA MAKUBWA NCHI HII KIASI KWAMBA, VIZAZI NA VIZAZI HAVITAKAA KUSAHAU
Kukweli jiwe hatosahaulika maana amefanya maovu makubwa na ya kutisha sana. Ameula, ameteka, amepora mali za watu na amepiga watu risasi.

This monster it is a million times better that he died and left this country in peace. Jiwe was a disgrace to our country.
 

All because he narrowed the channels that you could use to accumulate wealth?

Everyone has got flaws so even Magufuli was not perfect but he was a good leader.

Your campaign is to stain the efforts that had been made by Late Magufuli to develop the country.

Kikwete left the country very disorganized but Magufuli came and put it back together as a man of good will.

Tanzania will never get a president like JPM and that’s not hilarious and he said “ Mtanikumbuka kwa mazuri sio kwa mabaya”..The hell is coming
 
Hakuna anayependa haki halafu akapambana na rushwa gizani. Pambana na rushwa kwenye mwanga ndo tujue unapambana na rushwa kweli. Ni kipindi Cha jpm ambapo vyombo vya habari vyote havikuruhusiwa kuhoji chochote labda kumsifia tu
Hivi ndo vitu vinavyonshangaza mtu anavyosema alikua anapambana na rushwa huku vyombo vya habari ameviweka gizani
 
Hapana JPM was a serial killer
 
Daah wengi tunatamani JPM hata angemalizia hii 5 iliyobaki..tungekua mbali sana.
Ila ndo hivo bhana Itoshe tu kusema Apumzike kwa amani Mwamba yule.
 
At least hakua mnafiki kama huyu Mama. Kujidai mwanademokria halafu anatumia mabilioni kuanzisha michakato ya kuhadaa watu tu. Anaahidi Sheria za kidemokrasia, anatumia Milions ya michakato, halafu analeta Sheria ambayo ni sawa tu na ya Zamani, mf Anaondoa Kipengele cha Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi na Kuweka Watumishi Waandamizi, amebadili nini? Anaahidi katiba Mpya, halafu anatumia Bilions kulipa watu miaka mitatu mfululizo, eti wakitoa elimu ya Katiba, ili tu avuke 2025, Why asitamke tu kuwa Katiba Mpya sio agenda yake kama JPM, hizo hela akajenge hata Stand kwao Kizimkazi.
 
ELECTRICALLY?
 
Mjinga mmoja tu hivi aliyeandika ujinga.
Wewe ni mbumbumbu hujui chochote.
 
I agree with you 100%... I wonder on earth how can someone praise Magufuli.
 
Wewe ni mbumbu hujui kiingereza hata akili huna.mwenzako kaandika kisomi,wewe kama Sio zoba,jibu kiingereza tuone
 
Tusilazimishane kila mtu aamini anavyoona yeye.
binafsi JPM ndio Rais wangu bora katika marais wote walioongoza.
 
Absolutely Nonsensical and Rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…