Zaman nilikuaga nadhan, mtu akiandika / kuongea kimombo ana Akili balaa.
Kumbe unakuta Jitu ni mbumbumbu, lilojaa unafiki na uzandiki .
Nani asojua kua Wafanyabiashara walokimbia Nchi ni wale walozoea Magendo, Rushwa na kukwepa Kodi??.
Nani asojua Mikutano mingi ya kisiasa hizi zinazoitwa demokrasia ilitumika katika kukwamisha Maendeleo na kuleta hofu Kwa Rais, isivyo na maana ?.
Mlizoea Kikwete akawa anawaita Ikulu, mna ridhiana, Kisha anawaingizia Mabilion ya Pesa, mnarudi kimyaa, ziliisha, mnaanzisha tena vurugu??.
Nani asojua Kuna Utakatishaji mkubwa wa Fedha na fedha za kigaidi zilikua katika Akaunti za watu, fedha zisio na maelezo ??.
Watu kufa ,Imeanza Leo ?? Au Leo ndo hawafi hamna Risasi ? Hawaokotwi ?.
Mjinga Mmoja wee!!.
JPM NDIO RAIS PEKEE AMBAYE KWA MIAKA MITANO TU, AMEIFANYIA MAKUBWA NCHI HII KIASI KWAMBA, VIZAZI NA VIZAZI HAVITAKAA KUSAHAU WEMA WA HAYATI JPM.