Uchaguzi 2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

Nadhani its about time tuseme wazi kabisa kuwa the west are our enemies na tufunge balozi zao hapa kwetu na zetu huko kwao!
Zaidi ya hapo shut up na acha demokrasia ichukue mkondo wake!
 
Hiii broken....vp?
 
Mmekutana wapuuzi watupu Sasa hapo ameandika nini?
 
Nyerere was under constant economic pressure from the west. They had planned to undermine his legitimacy by making sure ujamaa policy never take strength and become something credible.
Ni shida sana hawa jamaa wa magharibi
Baba wa taifa alifeli kwenye ujamaa kwa sababu nyingi,miongoni mwazo ni hakua msimamizi mzuri wa sera zake,aliwekeza nguvu kwenye kuhubiri ujamaa lakini sio kusimamia,huu ugonjwa wa kutosimamia mopango umerthiwa na serikali zilizofuata,pili ujamaa upo kinyume na umbile la binaadam,unaviza juhudi,ubunifu..hakuna nchi iliyofuata ujamaa ikafanikiwa..tuache kusingizia wazungu
 
Sweden
 
Mmekutana wapuuzi watupu Sasa hapo ameandika nini?
Hujaelewa????? Rudisha akili zako toka kwa amstadam uelewe sasa narudia Mara ya mwisho kwako

"Kwa kifupi John Pombe Magufuli ni mwanaume HALISI na kamili ambae anamtunza na kumlimda mamaTanzania kwa upendo usio kifani.

Magufuli kama baba ni mwanaume asiyetingishwa wala kupangiwa kwenye himaya yake, baba mwenye kujali maslahi ya familia yake, baba anayewapenda watu wake wote na anayejua kuwanyoosha watukutu.

Mwanaume kamili anapambana usiku na mchana kulea familia yake na kuwapa ulinzi na amani kwa njia yoyote Sio sawa na yule anayeomba kura za waTanzania lakini anaowatumikia na kuwaabudu na waliomtuma ni wainglishi. Tena bila aibu anataka kumuweka mke wake na watoto rehani kwa mwanaume mwenzie ili apate pesa
John Pombe Joseph Magufuli mwanaume wa Karne, mzalendo halisi na kiboko ya CoronaVirus dunia nzima "
 
Yaani badala ya kumshawishi wenzako aende kwa Ras Simba mnapongezana ujinga wa kuandika utopolo n Kimombo cha ugoko
 
Yaani badala ya kumshawishi wenzako aende kwa Ras Simba mnapongezana ujinga wa kuandika utopolo n Kimombo cha ugoko
Aende kwa Ras Simba ili iweje? UTUMWA WA UFAHAMU UNAWATESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…