mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kimombo unachokijua wewe tangu kumekucha kimekuingizia sh ngapi?Lumumba n kimombo wapi wapi hii lugha kwenu ni kikwazo inajulikana
Mnakaa kumsema mtumlitaka aongee kama native speaker?
Kiswahili lugha yetu wacha tutambe nayo buana