Uchaguzi 2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

Simply stupid. It is like giving yourself to a man for a gift and not principles.
 

Unapata wapi muda wa kuandika upuuzi ..
 
Unapata wapi muda wa kuandika upuuzi ..
Ungekua upuuzi usingeusoma hadi mwisho? Na ungekua upuuzi usingekupa jazba?

Huu ni ukweli na unawachoma kama pasi, wapinzani mnaujua mnaongozwa ubinafsi na tamaa vinavyowapelekea kuwa wanafiki na wasaliti. Mmekua tayari kuuza utu wenu sababu ya ubinafsi ila mmefeli fafefifofu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
kama hamna wasomi chadema msingekuwa mnakesha usiku kucha ,tume +Nec +ccm +polisi .

Nye makima kweli
Chadema wana watu wa ajabuajabu, wengi wao hawana maadili nadhani hawakupewa malezi na mafunzo sahihi na chama chao. Naweza kusema ndani ya hilo kundi Lema na Sugu wana akili kuliko mgombea urais wao. Pamoja na mambo yao mengine bado Tundu haingii kwa hawa watu wawili hata theluthiπŸ‘Œ
 
kama hamna wasomi chadema msingekuwa mnakesha usiku kucha ,tume +Nec +ccm +polisi .

Nye makima kweli
Sasa kwa haya majibu yako na wewe utajiita msomi?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lissu ana usomi gani? Alichobarikiwa ni uropokaji,Kuna watu wamesoma sheria kwa viwango vikubwa huwa wanamzoom tuπŸ˜‚.
 


Ujamaa umefeli USSR. China in fact now is the largest economy. And by far the powerful national on earth. Ujamaa bila kuwa creative kama wachina ni kushindwa. Lakini hata ubepari nao ameshindwa sana.
Ndio maana watu wachache leo wanamiliki utajiri mkubwa kuliko wengi wanaoishi duniani
 
2015 was a turning point for our relationship with the west
kuna mtu humu alisema wewe ni 'mlokole'..........

judging by your comments, mtu anajiuliza 'ulokole' wako ni wa aina gani? maana huoneshi compassion kwa wale wanaoporwa haki zao na gvt!
 
CCM inaendelea kushinda na kuchaguliwa mwaka hadi mwaka, na itaendelea kuchaguliwa kwa sababu CCM is the best part.
Tanzania bado hatuna mbadala muafaka wa kuiondoa CCM

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
China sio mjamaa.. kinyume cha ujamaa si ubepari, ubepari (capitalism) ni pale wenye mitaji wanapoiongoza serikali, kama vile marekani.. Seeikali huingia vitani kwa maagizo ya corporates, china ni soko huria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…