The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

WEWE MKENYA MKORAA, NENDA KAPIGE PICHA ZA KIAMBUU, KIBERA, TURKANA NK HIZO NDIYO MAKAZI HALISI YA WAKENYA WENZAKO, USIJIDANGANYE KWA KULETA PICHA ZA MAJENGO YA MASHIRIKA YA KIMATAIFA NA YA WAWEKEZAJI TENA WENGI WAKIWA WAMETOKA NJE YA KUNYALAND, POOR MIND, SIJUI MNAMDANGANYA NANI?
Weeee!!!turkana si iliwatia presha katika ule uzi wa battle....
 
Acheni zile story zenu za kitoto eti hoooo tuna shirika kubwa la ndege kumbe kunyaland mnamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni mali ya wawekezaji! ni mpumbavu kama wewe tu halifahamu hili.
Ahahaaa...stori za vijiweni nenda kw jukwaa la tanzania hko
 
Acheni zile story zenu za kitoto eti hoooo tuna shirika kubwa la ndege kumbe kunyaland mnamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni mali ya wawekezaji! ni mpumbavu kama wewe tu halifahamu hili.
Na nyinyi mko na shirika la ndege? Ama ile yenu ya kubeba mitungi ya chang'aa kutoka Dar kwenda Mwanza nayo ni shirika?
 
Westy
NewPerspectivesRecce_September-02-2019-37.jpeg
tapatalk_1567625331961.jpeg
tapatalk_1565775836103.jpeg
tapatalk_1568912698786.jpeg
tapatalk_1567696756494.jpeg
GTC_TurnupTravel_July-24-2019-11.jpeg
tapatalk_1563714452668.jpeg
 
Westlands kuna baridi...weather ni different kiasi
Beautiful and by the way the weather in Westy is somehow different from the rest of Nairobi Yani Kuna kabaridi ama Ni somehow cooler ama Ni Mimi huskia hivo? I was there on Thursday had gone huko spring valley for some shugli hapa na pale and noticed so.
 
What is the distance kati ya westlands na upperhill...
 
Watu wengi hawana time yakupga picha maeneo yalodevelop huku dar mfano masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, upanga, ilala, mbezi beach, makongo, morocco, new makumbusho, mwenge, sinza, ubungo etc nyie mnapicha nyingi za maeneo mbal mbal ya nairob hadi kwe majumba ya watu binafsi but watz wengi wanapicha za posta tu tena za posta ni nying kuliko kkoo japo zimekarbiana. Sijui tatzo nn lakn kwenye swala la upigaj picha za miji hapa tz halipo
Huu mji kila picha naziona hizo jumba tatu Sasa nashangaa Ni kubwa kivipi hebu nielezee?
 
Watu wengi hawana time yakupga picha maeneo yalodevelop huku dar mfano masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, upanga, ilala, mbezi beach, makongo, morocco, new makumbusho, mwenge, sinza, ubungo etc nyie mnapicha nyingi za maeneo mbal mbal ya nairob hadi kwe majumba ya watu binafsi but watz wengi wanapicha za posta tu tena za posta ni nying kuliko kkoo japo zimekarbiana. Sijui tatzo nn lakn kwenye swala la upigaj picha za miji hapa tz halipo
Ni kwa sababu maeneo hayo unataja hayapo deveoped.
 
Back
Top Bottom