Af Wakenya bana, Hahahah asa flats kama hizo mbn zimejaa nyingi almost 50% ya kata zote Dar zina flats kama hizo za National Housing Corporation(NHC), JWTZ, POLICE BARRACKS, NEDCO, WHC, NSSF etc hizo flats zimejaa kila kona ya jiji
Af Wakenya wanavyodhani Dar ni isolated city yaan kwamba vitu vingi walivyonavyo Dar hakuna nadhani ni ukosefu wa exposure tuu, mutembee Wakora nyie msing`ang`anie kwny flats za Pipeline ukapanda nganya ukaenda Tao ukazani ume win
You've to wake up and move from uvunguni huko
Sent using
Jamii Forums mobile app
[/QUOTE[ Tofauti ni kwamba majumba yote makubwa Dar ni ya umma /ya kiserikali . Nairobi ina majumba mengi makubwa ya private sector ,Hii Westlands district is 99% private sector development.