fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Weeee!!!turkana si iliwatia presha katika ule uzi wa battle....WEWE MKENYA MKORAA, NENDA KAPIGE PICHA ZA KIAMBUU, KIBERA, TURKANA NK HIZO NDIYO MAKAZI HALISI YA WAKENYA WENZAKO, USIJIDANGANYE KWA KULETA PICHA ZA MAJENGO YA MASHIRIKA YA KIMATAIFA NA YA WAWEKEZAJI TENA WENGI WAKIWA WAMETOKA NJE YA KUNYALAND, POOR MIND, SIJUI MNAMDANGANYA NANI?
Leta middle class areas za dar..ACHA MANENO WEWE KUNYALAND, LETA PICHA ZA KIBERA! HUO NDIYO UHALISIA WA MAISHA YA KUNYALAND WENZAKO!
Ahahaaa...stori za vijiweni nenda kw jukwaa la tanzania hkoAcheni zile story zenu za kitoto eti hoooo tuna shirika kubwa la ndege kumbe kunyaland mnamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni mali ya wawekezaji! ni mpumbavu kama wewe tu halifahamu hili.
sasa tuonyeshe vile kuchinja Albino na watoto wachanga.Huwa mnawinda namna gani.mashetani nyieWeeee!!!turkana si iliwatia presha katika ule uzi wa battle....
usafi wa kishetani?......Tz tupo safi sana kuliko jirani zetu.
Na nyinyi mko na shirika la ndege? Ama ile yenu ya kubeba mitungi ya chang'aa kutoka Dar kwenda Mwanza nayo ni shirika?Acheni zile story zenu za kitoto eti hoooo tuna shirika kubwa la ndege kumbe kunyaland mnamiliki ndege tatu tu nyingine zote ni mali ya wawekezaji! ni mpumbavu kama wewe tu halifahamu hili.
Huu mji kila picha naziona hizo jumba tatu Sasa nashangaa Ni kubwa kivipi hebu nielezee?Dar es salaam msiichukulie poa, ni kubwa sana yaani kubwa sana kuliko Nairobi
View attachment 1055249View attachment 1055250
Beautiful and by the way the weather in Westy is somehow different from the rest of Nairobi Yani Kuna kabaridi ama Ni somehow cooler ama Ni Mimi huskia hivo? I was there on Thursday had gone huko spring valley for some shugli hapa na pale and noticed so.
Beautiful and by the way the weather in Westy is somehow different from the rest of Nairobi Yani Kuna kabaridi ama Ni somehow cooler ama Ni Mimi huskia hivo? I was there on Thursday had gone huko spring valley for some shugli hapa na pale and noticed so.
Huu mji kila picha naziona hizo jumba tatu Sasa nashangaa Ni kubwa kivipi hebu nielezee?
6kmWhat is the distance kati ya westlands na upperhill...
Ni kwa sababu maeneo hayo unataja hayapo deveoped.Watu wengi hawana time yakupga picha maeneo yalodevelop huku dar mfano masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, upanga, ilala, mbezi beach, makongo, morocco, new makumbusho, mwenge, sinza, ubungo etc nyie mnapicha nyingi za maeneo mbal mbal ya nairob hadi kwe majumba ya watu binafsi but watz wengi wanapicha za posta tu tena za posta ni nying kuliko kkoo japo zimekarbiana. Sijui tatzo nn lakn kwenye swala la upigaj picha za miji hapa tz halipo
Kielevation pia iko higher kuliko downtownWestlands kuna baridi...weather ni different kiasi
May be 3kmWhat is the distance kati ya westlands na upperhill...