The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Hiyo Nairobi mnavyoisifia mtaa wa Westland .tuwekeeni na picha za kariobangi, kasarani,kibera na mathare basi hahahahaa
Wewe unangoja nini na zaa gongo la mboto, mazense, mbagala na zinginezo?
 
Anafikiria Nairobi is a slum city like Dar!! Hiyo Kariobangi anayodharau hawezo hats mudu kulipa kodi. These bongolalas have never set foot out of Dar is Slum so everything they say here about Kenya and Nairobi in particular wanasikia tu kwa vinywa vya watu wala hawajui ukweli wa mambo
 
Awesome brother. Awesome. The roads in Kariobangi Dar is slum can only dream of
Have you forgotten that they built their first flyover late last year? Alafu wanataka kushindana na Nairobi.
 
Af Wakenya bana, Hahahah asa flats kama hizo mbn zimejaa nyingi almost 50% ya kata zote Dar zina flats kama hizo za National Housing Corporation(NHC), JWTZ, POLICE BARRACKS, NEDCO, WHC, NSSF etc hizo flats zimejaa kila kona ya jiji

Af Wakenya wanavyodhani Dar ni isolated city yaan kwamba vitu vingi walivyonavyo Dar hakuna nadhani ni ukosefu wa exposure tuu, mutembee Wakora nyie msing`ang`anie kwny flats za Pipeline ukapanda nganya ukaenda Tao ukazani ume win

You've to wake up and move from uvunguni huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Just laughing at you
 
I love your flats

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…