Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Ama wanaochukia zile sehemu chache nzuri?Watu wengi hawana time yakupga picha maeneo yalodevelop huku dar mfano masaki, oysterbay, msasani, mikocheni, upanga, ilala, mbezi beach, makongo, morocco, new makumbusho, mwenge, sinza, ubungo etc nyie mnapicha nyingi za maeneo mbal mbal ya nairob hadi kwe majumba ya watu binafsi but watz wengi wanapicha za posta tu tena za posta ni nying kuliko kkoo japo zimekarbiana. Sijui tatzo nn lakn kwenye swala la upigaj picha za miji hapa tz halipo