The whole of Kenya in total darkness

That's old data, Geothermal power is currently the biggest source of power in Kenya.
 
That's old data, Geothermal power is currently the biggest source of power in Kenya.
Please produce the most recent data available, don't forget this data is by December 2015, only one year ago.
 
Mkuu kelele zote hizi huna hata backup ya generator ndogo au Solar system?
 
Mkuu kelele zote hizi huna hata backup ya generator ndogo au Solar system?
Back up hununuliwa kama inahitajika mara kadhaa. Huwezi kununua kama kukosa umeme ni mara moja kwa mwaka.
 
Mkuu kelele zote hizi huna hata backup ya generator ndogo au Solar system?

Subiri nitakuonyesha picha ya inverter yangu hapo Bongo, maana huko ndiko inahitajika.
 
Taarifa hii ni mpya kabisa, asante sana kwa kunijuza, hii pia inaonyesha kwamba production ni 2,327MW by September 2017, hebu tuonyeshe percentage of connectivity, hapo ndipo kwenye kiini cha mjadala huu
Thats 2016 source from the Ministry of Energy, article ndio iliandikwa 2017.
 
Subiri nitakuonyesha picha ya inverter yangu hapo Bongo, maana huko ndiko inahitajika.
Kwa hilo Giza masaa yote hayo inverter haiwezi fua dafu itazima.Ulitakiwa umiliki generator ndogo!
 
Back up hununuliwa kama inahitajika mara kadhaa. Huwezi kununua kama kukosa umeme ni mara moja kwa mwaka.
Acha mijisifa ya kijinga unaongelea hii Kenya hii hii au nchi ya uingereza?
 
Acha mijisifa ya kijinga unaongelea hii Kenya hii hii au nchi ya uingereza?
Hii hii Kenya ndo anayoiongelea. 2017, mitaa ya kwetu nimeona interruption ya stima mara moja, ilikuwa masaa kadhaa. Nadhani ni mwezi wa agosti au oktoba. Walikuwa wameitangaza gazetini. Maintainance. Huku kwetu jana stima ilikuwa kama kawa, hata ilipozimwa na nyani huku stima hazikupotea. Mimi sina generator na jirani zangu pia hawana. Hongera zao Kenya power.
 
Kwa hilo Giza masaa yote hayo inverter haiwezi fua dafu itazima.Ulitakiwa umiliki generator ndogo!

Kuna mtaalam aliunganisha battery tatu na inverter design ambayo naweza kwenda hata siku mbili napiga kazi zangu bila matatizo. Majirani zangu wahindi hapo Dar ndio walikua wanapiga hayo majenereta hadi kero.
 
These Tanzanians mind so much about 254, mimi hata sijui nini kinaendelea Tanzania since Magufuli was elected president. That was the last major news from TZ tuliskia huku. Stima inapotea kwa major cities Kenya inakua breaking News TZ hahaha.
most of Tanzanian they dont care abt Kenya news they know a lot about Sadc
 
Kuna mtaalam aliunganisha battery tatu na inverter design ambayo naweza kwenda hata siku mbili napiga kazi zangu bila matatizo. Majirani zangu wahindi hapo Dar ndio walikua wanapiga hayo majenereta hadi kero.
Hiyo itakuwa ni ile Virus Invertor, kwenye ile filamu ya 3 Idiots. Uliitizama hiyo movie jombaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…