The whole of Kenya in total darkness

The whole of Kenya in total darkness

Sasa ninyi wachangiaji wengine Kenya ikose umeme isemwe Tanzania kweli??
 
but this situation is not uncommon in Kenya.
 
Generator business must be really good especially for the Arabs and Indians in Dar.

Dar harufu ya diesel na makelele ya majenereta noi vitu vya kawaida.
Kwa kweli ni kitambo sana tangu nikumbane na matatizo ya umeme Nairobi.
 
kenya hamna records za kufuta watu kazi kwa style hiyo na wala katiba au sheria zenyu za ajira yenyu hairuhusu jambo kama kama hilo kutokea. so it will be business as usual.

katiba yenyu ya ugatuzi na sheria zake ndogo ndogo imetengeneza mazingira ya kubembelezana hata kama mtu kafanya jambo kwa uzembe.

tazama hapa chini uone vile wanaume wanavyojua kusimamia masuala ambayo yanahusu maslahi ya kitaifa.

hii ilikuwa mwezi october 2017.
c8515c38c1dc402e5860c5d45fa815ae.jpg
d9548f6228ef951c7e0090212b0612db.jpg

Tatizo nchi yenu inaendeshwa kwa matamko na mikwara na maonyesho ya wanahabari halafu matokeo sifuri. Haya mambo ya kiuhandisi yanataka akili sio mikurupuko ya wanasiasa.
Tayari umeme umerudi kwetu hapa, ilhali kwenu ungepotea siku zaidi ya mbili pamoja na hizo show zenu za wana habari.
 
Such news were common during the Moi era...cheap publicity stunts meant to excite the masses.
Eti Kenyatta ndio ana amka na kusema 2018 mwisho wa walarushawa. Labda angeanza kujishugulikia yeye mwenye na makamu wake.
 
Dar harufu ya diesel na makelele ya majenereta noi vitu vya kawaida.
Kwa kweli ni kitambo sana tangu nikumbane na matatizo ya umeme Nairobi.
Hahaa aisee kweli, kuna siku nilikuwa hapo karikoo na dah magenereta yalikuwa yanarindima utadhani helicopter zipo kitaa...wadanganyika wanahitaji dua kwa sana mazee!
 
Haya mambo ya kiuhandisi yanataka akili sio mikurupuko ya wanasiasa.
Tayari umeme umerudi kwetu hapa, ilhali kwenu ungepotea siku zaidi ya mbili pamoja na hizo show zenu za wana habari.

porojo za namna hiyo ndio zimechangia kuzifikisha nchi nyingi maskini za kiafika hapa zilipo.

unafiki na kuchukuliana poa katika masuala ya msingi ya kitaifa.

mtu anaharibu department A, then anahamishiwa department B.

tunamshukuru sana JPM kwa kututoa kwenye hiyo hali. hakuna muda wa kulea watu unproductive serikalini. ukiharibu unapigwa chini immediately kitengo anakabidhiwa mwengine.
hapa kazi tu.
 
Such news were common during the Moi era...cheap publicity stunts meant to excite the masses.
analog era...inatakiwa kipindi kama hiki cha digitali serikali iwe kali zaidi kuliko wakati wowote ule. kwasababu wajuaji ni wengi zama hizi. [emoji23]
 
Hapa Sportsview estate hatuna umeme, just having supper halafu niende TRM. Got some urgent assignment.

This is typical life of Dar, constant blackouts yaani mtu asipofutwa kazi sijui.
Wewe si juzi ulikuwa unajifanya kushangaa nation-wide blackouts kumbe na nyinyi ni kawaida tu haha at least sisi kwetu was once ila nyie mara nyani kazima umeme nchi nzima hii ya saiv sijui mtaambiwa ni tembo!
 
Hongera zao Kenya Power, very swift response. Watu wameamka chee wakapata hitilafu ilisha rekebishwa usiku usiku! Stima kama kawa. Kenya tunapaa. Nimekuwa nikisifia Kenya power tangu mwaka jana. Hawa jamaa wanajaribu sana, si kama jamaa flani wanatumiaga twiga kufikia nyaya za juu juu za stima, lakini wapi! Maskini twiga wamemvuruga kila siku anachapwa shoku za bure tu. 😀😀😀
 
These Tanzanians mind so much about 254, mimi hata sijui nini kinaendelea Tanzania since Magufuli was elected president. That was the last major news from TZ tuliskia huku. Stima inapotea kwa major cities Kenya inakua breaking News TZ hahaha.
 
Tembe aujionee wacha kuropoka, huku hatukumbuki lini kwa mara ya mwisho umeme umekatika tangu last blackout ilipotokea na wahusika kuadhibiwa, hamuwezi kulinganisha nchi ya wala rushwa na Tanzania
 
Tembe aujionee wacha kuropoka, huku hatukumbuki lini kwa mara ya mwisho umeme umekatika tangu last blackout ilipotokea na wahusika kuadhibiwa, hamuwezi kulinganisha nchi ya wala rushwa na Tanzania
Our National Grid is almost twice ya hio nchi yenu kubwa, nyinyi bado a big chunk of your population haijui hata stima ni nini.
 
Our National Grid is almost twice ya hio nchi yenu kubwa, nyinyi bado a big chunk of your population haijui hata stima ni nini.
Tanzania inazalisha kati ya 1500 - 1700 MW, mahitaji ya nchi ni 1350MW, kumbuka uzalishaji na usambazaji ni tofauti, Tanzania tumeunganisha 68% ya nchi, ninyi ni 64% pekee pamoja na kuzalisha umeme mwingi lakini uwezo wenu wa kusambaza ni mdogo sana, hamuifikii Tanzania
 
Middle income country
Mnaosema ni kama Dar mko sahihi,ila hii ni 90% of kenya hakuna Umeme. Hahahha
 
Tanzania inazalisha kati ya 1500 - 1700 MW, mahitaji ya nchi ni 1350MW, kumbuka uzalishaji na usambazaji ni tofauti, Tanzania tumeunganisha 68% ya nchi, ninyi ni 64% pekee pamoja na kuzalisha umeme mwingi lakini uwezo wenu wa kusambaza ni mdogo sana, hamuifikii Tanzania
Wewe unapenda kuota sana, consumption rate ya Kenya as of 2015 ilikua 2300MW itakuaje mko connected to more power than Kenya? Now as geothermal surpassed hydro electric power sasa hata tunazalisha stima zaidii since some geothermal wells were completed na zingine ziko kumaliziwa. By 2015 tulikua tunazalisha over 2500MW. Sahii Kenya iko power sufficient, tukona stima ya kutosha hadi surplus.
 
Kenya Energy Situation - energypedia.info
Hii ndiyo situation ya umeme Kenya by December 2016, mnazalisha 2300MW, na mahitaji yenu ni 1600MG, huo ni uzalishaji na mahitaji, tatizo ni usafirishaji na usambzaji wa umeme, hiyo taarifa hapo inaonyesha connectivity ni 36% by December 2016, lakini kuna eneo niliona imefikia 63% by September 2017, bado umeme wa maji unwongoza, ukifuatiwa na geotherm
kama una data zingine za karibuni tafadhali ziweke acha maneno matupu.
 
Back
Top Bottom