Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Generator business must be really good especially for the Arabs and Indians in Dar.
kenya hamna records za kufuta watu kazi kwa style hiyo na wala katiba au sheria zenyu za ajira yenyu hairuhusu jambo kama kama hilo kutokea. so it will be business as usual.
katiba yenyu ya ugatuzi na sheria zake ndogo ndogo imetengeneza mazingira ya kubembelezana hata kama mtu kafanya jambo kwa uzembe.
tazama hapa chini uone vile wanaume wanavyojua kusimamia masuala ambayo yanahusu maslahi ya kitaifa.
hii ilikuwa mwezi october 2017.
![]()
![]()
Wewe baki hapo hapo kungoja picha wakati wenzako wanafanya kazi usiku na mchana.....usiku na mchana.Hamna picha za SGR?
Eti Kenyatta ndio ana amka na kusema 2018 mwisho wa walarushawa. Labda angeanza kujishugulikia yeye mwenye na makamu wake.Such news were common during the Moi era...cheap publicity stunts meant to excite the masses.
Wewe unawashwawashwa!Hata uganda hakuna umeme ,ila isee poleni mlio gizani, huku mtaani nlipo umeme upo na ni wa uhakika, kenya yasonga mbele sio kama huyu kuku wa kibongo bongo!![emoji3] [emoji125] View attachment 672012
Hahaa aisee kweli, kuna siku nilikuwa hapo karikoo na dah magenereta yalikuwa yanarindima utadhani helicopter zipo kitaa...wadanganyika wanahitaji dua kwa sana mazee!Dar harufu ya diesel na makelele ya majenereta noi vitu vya kawaida.
Kwa kweli ni kitambo sana tangu nikumbane na matatizo ya umeme Nairobi.
Haya mambo ya kiuhandisi yanataka akili sio mikurupuko ya wanasiasa.
Tayari umeme umerudi kwetu hapa, ilhali kwenu ungepotea siku zaidi ya mbili pamoja na hizo show zenu za wana habari.
analog era...inatakiwa kipindi kama hiki cha digitali serikali iwe kali zaidi kuliko wakati wowote ule. kwasababu wajuaji ni wengi zama hizi. [emoji23]Such news were common during the Moi era...cheap publicity stunts meant to excite the masses.
Wewe si juzi ulikuwa unajifanya kushangaa nation-wide blackouts kumbe na nyinyi ni kawaida tu haha at least sisi kwetu was once ila nyie mara nyani kazima umeme nchi nzima hii ya saiv sijui mtaambiwa ni tembo!Hapa Sportsview estate hatuna umeme, just having supper halafu niende TRM. Got some urgent assignment.
This is typical life of Dar, constant blackouts yaani mtu asipofutwa kazi sijui.
Tembe aujionee wacha kuropoka, huku hatukumbuki lini kwa mara ya mwisho umeme umekatika tangu last blackout ilipotokea na wahusika kuadhibiwa, hamuwezi kulinganisha nchi ya wala rushwa na TanzaniaThese Tanzanians mind so much about 254, mimi hata sijui nini kinaendelea Tanzania since Magufuli was elected president. That was the last major news from TZ tuliskia huku. Stima inapotea kwa major cities Kenya inakua breaking News TZ hahaha.
Our National Grid is almost twice ya hio nchi yenu kubwa, nyinyi bado a big chunk of your population haijui hata stima ni nini.Tembe aujionee wacha kuropoka, huku hatukumbuki lini kwa mara ya mwisho umeme umekatika tangu last blackout ilipotokea na wahusika kuadhibiwa, hamuwezi kulinganisha nchi ya wala rushwa na Tanzania
Tanzania inazalisha kati ya 1500 - 1700 MW, mahitaji ya nchi ni 1350MW, kumbuka uzalishaji na usambazaji ni tofauti, Tanzania tumeunganisha 68% ya nchi, ninyi ni 64% pekee pamoja na kuzalisha umeme mwingi lakini uwezo wenu wa kusambaza ni mdogo sana, hamuifikii TanzaniaOur National Grid is almost twice ya hio nchi yenu kubwa, nyinyi bado a big chunk of your population haijui hata stima ni nini.
Wewe unapenda kuota sana, consumption rate ya Kenya as of 2015 ilikua 2300MW itakuaje mko connected to more power than Kenya? Now as geothermal surpassed hydro electric power sasa hata tunazalisha stima zaidii since some geothermal wells were completed na zingine ziko kumaliziwa. By 2015 tulikua tunazalisha over 2500MW. Sahii Kenya iko power sufficient, tukona stima ya kutosha hadi surplus.Tanzania inazalisha kati ya 1500 - 1700 MW, mahitaji ya nchi ni 1350MW, kumbuka uzalishaji na usambazaji ni tofauti, Tanzania tumeunganisha 68% ya nchi, ninyi ni 64% pekee pamoja na kuzalisha umeme mwingi lakini uwezo wenu wa kusambaza ni mdogo sana, hamuifikii Tanzania
Kenya Energy Situation - energypedia.infoWewe unapenda kuota sana, consumption rate ya Kenya as of 2015 ilikua 2300MW itakuaje mko connected to more power than Kenya? Now as geothermal surpassed hydro electric power sasa hata tunazalisha stima zaidii since some geothermal wells were completed na zingine ziko kumaliziwa. By 2015 tulikua tunazalisha over 2500MW. Sahii Kenya iko power sufficient, tukona stima ya kutosha hadi surplus.