COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
- Thread starter
-
- #41
Haha mbona unaumia sana...fan wa ball anafaa kuitii iyo shot....wivu mingi hug transformer budaNinauhakika wewe siyo shabiki wa mpira wa miguu. Kama ungekuwa unajuwa issue za mpira wa miguu usingeropoka hivi. Fuatilia mambo wewe!!!
Mjinyonge kama mnawivu...sasa league ya Belgium joo??? LolMbwana Sammata anayechezea Gent Belgium nikumbushe, Belgium ni Kibera?, ninyi wakenya ni limbukeni sana, mnapenda sana sifa za kijinga wakati huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo maji ya kunywa hampati
Siku nyingi hao wamekuwa ranked as a failed state, miaka mitatu mfululizo wameshindwa kujitoa katika kundi hilo, ila hawapendi kuwaita failed state, tafadhali hii ni siri yako usije kuwaambia, ukitiwa ngeu mimi sihusiki[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimecheka sana yaani kenya kumbe ni failed state!!?
Sitamwmbia COLLOH-MZII RELOADEDSiku nyingi hao wamekuwa ranked as a failed state, miaka mitatu mfululizo wameshindwa kujitoa katika kundi hilo, ila hawapendi kuwaita failed state, tafadhali hii ni siri yako usije kuwaambia, ukitiwa ngeu mimi sihusiki[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Please, please, please, usije kufanya kosa kubwa la kumuambia COLLOH, huyo ninasikia anatatizo la BP, ikipanda ni kama amemeza viagra tablets, yaani wanawake wote hapo Kibera hawabaki salama[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hata hiyo Belgium tunaye Divock Origi mchezaji wa Liverpool... HahahahahahahaMbwana Sammata anayechezea Gent Belgium nikumbushe, Belgium ni Kibera?, ninyi wakenya ni limbukeni sana, mnapenda sana sifa za kijinga wakati huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo maji ya kunywa hampati
LDC mtakaa hapo milele
Wacha kuwa mnyonge.Kenya ranked as 'failed state'
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
League gani...acha kutubeba ufala
Hata hiyo Belgium tunaye Divock Origi mchezaji wa Liverpool... Hahahahahahaha
Utakua umekufa uache mapema password zakoSiku Mtz atacheza premier league na kufunga bao kama hio mnitag....pole...mtag my great great grandson kwasababu ntakua nisha dedi.- in ichoboys words
Tumewakilisha ukanda huu pale Europe.Aliyewahi kuwa,
Je kuna mtu kabisha kwani? tatizo hapa ni nyinyi kujifanya Europe mpo wenyewe tu.
Kwenye raga jirani zetu wanatuachia tuwakilishe, riadha, voliboli hawapo, mpira wa magongo hatuwaoni! Hawa wenzetu hawana huruma kabisa. Haya majukumu ni mazito kweli kweli!Tumewakilisha ukanda huu pale Europe.
Sababu kuu ni malnutrition.Kwenye raga jirani zetu wanatuachia tuwakilishe, riadha, voliboli hawapo, mpira wa magongo hatuwaoni! Hawa wenzetu hawana huruma kabisa. Haya majukumu ni mazito kweli kweli!