The World Celebrates Wanyama's Goal, making Kenya proud again

Ninauhakika wewe siyo shabiki wa mpira wa miguu. Kama ungekuwa unajuwa issue za mpira wa miguu usingeropoka hivi. Fuatilia mambo wewe!!!
Haha mbona unaumia sana...fan wa ball anafaa kuitii iyo shot....wivu mingi hug transformer buda
 
Mbwana Sammata anayechezea Gent Belgium nikumbushe, Belgium ni Kibera?, ninyi wakenya ni limbukeni sana, mnapenda sana sifa za kijinga wakati huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo maji ya kunywa hampati
Mjinyonge kama mnawivu...sasa league ya Belgium joo??? Lol
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Nimecheka sana yaani kenya kumbe ni failed state!!?
Siku nyingi hao wamekuwa ranked as a failed state, miaka mitatu mfululizo wameshindwa kujitoa katika kundi hilo, ila hawapendi kuwaita failed state, tafadhali hii ni siri yako usije kuwaambia, ukitiwa ngeu mimi sihusiki[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sitamwmbia COLLOH-MZII RELOADED
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Ona jinsi ukabila unavyowamaliza, mkiwa nje mnasema ninyi ni Kenya, mkiwa ndani ya Kenya mnatumia makabila yenu, ona jinsi wakikuyu wanavyomsifia huyo wanyama kwa kutumia kabila badala ya utaifa, hiyo ndiyo maana ya failed state[/QUOTE]
Ugua pole pole
 
Mbwana Sammata anayechezea Gent Belgium nikumbushe, Belgium ni Kibera?, ninyi wakenya ni limbukeni sana, mnapenda sana sifa za kijinga wakati huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo maji ya kunywa hampati
Hata hiyo Belgium tunaye Divock Origi mchezaji wa Liverpool... Hahahahahahaha
 
Tumewakilisha ukanda huu pale Europe.
Kwenye raga jirani zetu wanatuachia tuwakilishe, riadha, voliboli hawapo, mpira wa magongo hatuwaoni! Hawa wenzetu hawana huruma kabisa. Haya majukumu ni mazito kweli kweli!
 
Sababu kuu ni malnutrition.
 
Back
Top Bottom