The wrong generation for nice guys.

Hahah kama Snura
 
Ushauri mzuri sana huu.
 
Nice guys huoa makombo ya bad guys.. sawa!
Bad guys je huoa akina nani?
Je, tu assume kwamba bad guys hawaoi madem aged 27+?
 
Wanawake design ya akina Jadda ni WA kupiga na kusepa tu
 
Kuna yeye na Zemanda wanatema nondo tupuuuu.
Ila hawa jamaa wananisaidia na mimi baadhi ya vitu nilikuwa sivichukulii umakini.

Demu anaweza kukutumia msg Baby naomba uniongezee Elfu Hamsini nimepungukiwa Kodi, nadaiwa laki Tatu ila laki mbili na nusu nimeshapata.

Kiubinadamu kabisa huyu Mtu huwezi kumnyima elfu 50 ikiwa ameshapata laki 2 na nusu sembuse akiwa mpenzi.

Sasa Bwana kumbe Msg kama hiyo katuma kwa Mabwana kama 10 hivi. Kila Bwana anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Kuna mwenye kimbele mbele atatuma laki, mwingine laki mbili ,mwingine elfu 30 huku akiomba na msamaha kwa kuwa imepungua, na kabwela mwingine atatoa ahadi mwisho wa mwezi.

Demu kama huyu anaona wanaume wote ni maboya tu na kamwe hawezi kuheshimu mwanaume kwani anajua ni weak spicies mbele ya K
 
Yaani mimi nikisoma hizi sms zenu nabaki kubugia maneno ndani ya moyo wangu tu. Mwanamke ambae hana hofu ya Mungu ni kiumbe hovyo saaaaana.
 
✅️✅️
 
Absolutely
 
Bad boys wakiamua kutulia na kutafuta mwanamke wa kufanya nae maisha mara nyingi wanapata mke sahihi kwa sababu wana uzoefu na characters zote za wanawake
Labda waoe hao wa under 23 years ndiyo hawajapigwa miti sana.
Bro, figuring out what a chic has been through si rahisi. Hasa kama ni demu smart ila muhuni.
Kuwa bad boy haimpi mtu guarantee ya kuwaelewa wanawake.
So, yeyote, nice boy au bad boy akioa 27+ anaweza kuoa demu ashatombwer sana tu.
 
Umri ndio huwa unawakumbusha usihangaike nao. Wewe hit her and run
 
ni kweli mkuu, kwenye kuoa mwanamke ambae haujui past yake usalama wako uoe bikira tu, lakini angalao bad boy anaoa kitu alichokialibu yeye mwenyewe tofauti na nice guy ambae ni victim wa tatizo ambalo hajalitengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…