The wrong generation for nice guys.

The wrong generation for nice guys.

Ila hawa jamaa wananisaidia na mimi baadhi ya vitu nilikuwa sivichukulii umakini.

Demu anaweza kukutumia msg Baby naomba uniongezee Elfu Hamsini nimepungukiwa Kodi, nadaiwa laki Tatu ila laki mbili na nusu nimeshapata.

Kiubinadamu kabisa huyu Mtu huwezi kumnyima elfu 50 ikiwa ameshapata laki 2 na nusu sembuse akiwa mpenzi.

Sasa Bwana kumbe Msg kama hiyo katuma kwa Mabwana kama 10 hivi. Kila Bwana anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Kuna mwenye kimbele mbele atatuma laki, mwingine laki mbili ,mwingine elfu 30 huku akiomba na msamaha kwa kuwa imepungua, na kabwela mwingine atatoa ahadi mwisho wa mwezi.

Demu kama huyu anaona wanaume wote ni maboya tu na kamwe hawezi kuheshimu mwanaume kwani anajua ni weak spicies mbele ya K
Huu ndio uhalisia mkuu, wanajiona wameyapatia maisha.
 
Back
Top Bottom