Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

Jobo ni chaguo la mwendazake..
Japo alitusaliti bwagamoyo hatutamuangusha labda iwe ya wazi.
kama itakua ya wazi ataondolewa,
lakin ikiwa ya siri,
theruthi mbili haitatimia
maana wapo wengi ambao hawamuelewi huyu mzanji,
 
Tunatakiwa kuhoji sababu ya Ndungai kuongea aliyoyaongea akiwa nje ya Bunge.
Wakiweza kumhoji itakuwa yakwanza mpya Duniani, kilasiku nasema hapa ujasiri wakuwajibishana hatunao, wala wananchi hatuna uwezo wa kuwajibisha mtawala kiongozi aliye madrakani hata abolonge vipi.
 
Sipika akiachia ngazi, itadhihirisha ujinga wake!

Hapaswi kuachia ngazi hata kwa dawa,
 
Hawa waliopatikana kwa maelekezo ya nileteeni fulani
 
kama itakua ya wazi ataondolewa,
lakin ikiwa ya siri,
theruthi mbili haitatimia
maana wapo wengi ambao hawamuelewi huyu mzanji,
Na itakua ya wazi heehee aonekane mnafiki nan [emoji2] badam batamwagika
 
Kosa la Ndugai ni kuomba msamaha.Ndugai akiwa kama kiongozi wa mhimili huru alipaswa kusimamia msimamo wake.

Ukishaona speaker wa Bunge ambae ni mhimili wa dola unaojitegemea ametoa msimamo wake juu ya jambo fulani halafu ghafla akamuomba msamaha Rais kwa msimamo aliotoa, jua hilo Taifa limefika mwisho na limekufa.
 
Ndungai katikisa, kumbe mhimili mkuu ndio unaendesha nchi, hiyo mihimili mingine ni gheresha tu kikatiba. Hata sufuria halijayumba, kachomoka amevimba kweli kweli, amerudi amenyooka.😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…