Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??
ZItafika tu,ma ccm hawanaga akili zao wenyewe,akili zao Zimefungiwa Lumumba,
Kwanza ilibidi Ndugai ashitakiwe kwa uchochezi.
Na mama ni Mwepesi sana,ameonyesha jinsi hii serikali ambsvyo haipendi maoni tofauti.
 
Back
Top Bottom