Themason: Niulize Chochote Kuhusu mimi nami Nitakujibu Kiufasaha

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Ni Karibia Mwaka sasa, Nimefungua account JF japo nimekuwa nikisoma Makala za Humu kwa zaidi ya Miaka Saba iliyopita.

Unaweza Kuniuliza Chochote Kuhusu Mimi Nikakujibu Kiufasaha.
 
Je ni kweli umeolewa au ni uzushi tu?
 
Jina lako lina uhusiano wowote na Freemason?
 
Mkuu The mason.
Hapa jf kuna WAPUMBAVU ambao wao kila swali ukiwauliza wanajibu HAPANA/SIJUI.

Je wewe ni mmoja wa wapumbavu hao..?
 
Mkuu The mason.
Hapa jf kuna WAPUMBAVU ambao wao kila swali ukiwauliza wanajibu HAPANA/SIJUI.

Je wewe ni mmoja wa wapumbavu hao..?
inategemea umeulizaje swali mkuu na mtu hawezi kuupima upumbavu wake yeye mwenyewe
 
Nini kinakuvutia huko hali ya kuwa ni kila mtu anajua ukijiunga tu kule tayari umemkana Mungu?
Bado kuna Elimu Nazidi Kuipata na nafikiri hio Ishu ya Kumkana Mungu ni Perception tu za Watu
 
Bado kuna Elimu Nazidi Kuipata na nafikiri hio Ishu ya Kumkana Mungu ni Perception tu za Watu
Mkuu, ukweli ndo huo na pia kama ww ni wale hawaamini uwepo wa mungu, kizingiti kingine ni kutoa kafara....
 
Ni Karibia Mwaka sasa, Nimefungua account JF japo nimekuwa nikisoma Makala za Humu kwa zaidi ya Miaka Saba iliyopita.

Unaweza Kuniuliza Chochote Kuhusu Mimi Nikakujibu Kiufasaha.
Mara yako ya mwisho kula papuchi ni lini?
 
Kwa hiyo mkuu samahani kwanza......unataka kuulizwa maswali tuu?
 
Mkuu, ukweli ndo huo na pia kama ww ni wale hawaamini uwepo wa mungu, kizingiti kingine ni kutoa kafara....
Mkuu sharti la kwanza ni kumuamini mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…