Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utu wa mtu ni sehemu zake za siri embu weka tuzionehahahaa Mkuu mimi Mwanaume
Nini kinakuvutia huko hali ya kuwa ni kila mtu anajua ukijiunga tu kule tayari umemkana Mungu?Hapana kwa sasa sio Mason ila nna Huo Mpango siku za baadae
..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Akikujibu ni-tagMkuu The mason.
Hapa jf kuna WAPUMBAVU ambao wao kila swali ukiwauliza wanajibu HAPANA/SIJUI.
Je wewe ni mmoja wa wapumbavu hao..?
..[emoji23] [emoji23] [emoji23] Akikujibu ni-tag
inategemea umeulizaje swali mkuu na mtu hawezi kuupima upumbavu wake yeye mwenyewe
Mkuu, ukweli ndo huo na pia kama ww ni wale hawaamini uwepo wa mungu, kizingiti kingine ni kutoa kafara....Bado kuna Elimu Nazidi Kuipata na nafikiri hio Ishu ya Kumkana Mungu ni Perception tu za Watu
Mara yako ya mwisho kula papuchi ni lini?Ni Karibia Mwaka sasa, Nimefungua account JF japo nimekuwa nikisoma Makala za Humu kwa zaidi ya Miaka Saba iliyopita.
Unaweza Kuniuliza Chochote Kuhusu Mimi Nikakujibu Kiufasaha.