Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Nukuu zote ulizonukuu hujaambatanisha faragha za Yesu mkewe kama wanandoa - hujaambatanisha makazi ya Yesu kama baba wa familia - hujaambatanisha watoto wa yesu hata kwa majina yao...
Ningekuelewa kuwa u msomi wa theolojia na unaelewa kile ukisemacho hata kama usingeambatanisha mstari wowote endapo tu usingeingiza neno "shoga" katika kujenga hoja zako.
Unasumbuliwa na utoto mwingi, siku ukikua utaacha utoto.
Itakuwa inakuchanganya sana akili yako kuona mungu kaoa na amegegeda kifaa chake .
Naelewa uko katika mawazo mkanganyo lakini ukweli ndio huo bwana yesu hawezi kufuatana na mwanamke kama kimada , mitume wa Mungu hawafanyi uchafu huo
Ndio nikakuletea mkasa wa hiyo arusi , kukuonyesha hiyo arusi itakuwa ni ya Bwana yesu tu na Maria magdalena alikuwa kifaa chake.
Mambo aliyofanya yesu ni mengi na sio kila kitu kimeandikwa kwa uwazi. kama biblia inavyosema