Theological view: Yesu na Maria Magdelena


Itakuwa inakuchanganya sana akili yako kuona mungu kaoa na amegegeda kifaa chake .

Naelewa uko katika mawazo mkanganyo lakini ukweli ndio huo bwana yesu hawezi kufuatana na mwanamke kama kimada , mitume wa Mungu hawafanyi uchafu huo

Ndio nikakuletea mkasa wa hiyo arusi , kukuonyesha hiyo arusi itakuwa ni ya Bwana yesu tu na Maria magdalena alikuwa kifaa chake.

Mambo aliyofanya yesu ni mengi na sio kila kitu kimeandikwa kwa uwazi. kama biblia inavyosema

Yn 21:25 SUV​

Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
 
UNASUMBUKA na utoto, siku ukikua utaacha utoto.
 
UNASUMBUKA na utoto, siku ukikua utaacha utoto.


Utoto unao wewe yaani mwanamke ampanguse Yesu kwa minywele halafu ampige mabusu yesu na kumpaka mafuta miguuni . Mzee chini kalala tu ??

Atakuwa mwanamume gani huyo ?? lazima hata hao wanafunzi wake wapate mashaka , ufanyiwe yote na mzee chini amelala fofo fo , Hatari

fikiri upya
 
MUNGU HAWEZI KUONEKANA KWA MACHO. HAKUNA ALIYEMWONA MUNGU, KWA HIYO YESU SI MUNGU!
Mungu hawezi😀😀,ng'ombe wa mtume wewe.
Yesu (AS) akasema; "Hakuna mtu ambaye amemwona Mungu wakati wowote." [Yohana 1:18]
ni Yesu pekee ndiye anamjua baba mpaka kwa sura,nadhani hoja hiyo inakupa ujumbe yeue ni nani.
ndio maana hatumweki Yesu kwenye huu utopolo wa akina Muhammad na akina hamidu kobaz.
 
Hakuwa mtume
Unaushahidi gani wakimaandiko kwamba alikuwa ni mtume??
 
Kwa kuwa Yesu alikuwa Mungu na binadamu, sehemu ya ubinadamu ilitumika katika mahusiano yao na Magdalena. Kwa maneno mengine huyu mwanamke alikuwa mshikaji wa Yesu.
 
Kwa kuwa Yesu alikuwa Mungu na binadamu, sehemu ya ubinadamu ilitumika katika mahusiano yao na Magdalena. Kwa maneno mengine huyu mwanamke alikuwa mshikaji wa Yesu.
Unatuambia , mungu anakuwa na mke , anakuwa na washikaji , au vipi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…