There is oil in Tanzania

There is oil in Tanzania

Hakuna mafuta ya maana nchini Tanzania...pole ni kwako sababu sisi huwa hatufanyi sherehe sababu ya vitu vidogo vidogo...we think big...wacha hata Tanzania, Gabon iko na mafuta nyingi sana na imekuwa iki export mafuta hayo kwa miaka na mikaka ila Gabon hata haina uchumi wa maana...mimi sioni haja ya kusherehekea kisa mafuta...
Gabon ndio model yako?watz tunafikiria nje ya box wewe,now mazungumzo yanaendelea na wadau wa gas kuhusu Host Government Agreement(HGA) kuhusu LNG plant Mtwara.soon msijali tutawaletea bomba huko la gesi tuwauzie
 
Pipeline tu mlivaa chupi kichwani itakua mafuta acha kunichekesha hahaha

Sizitaki mbichi hizi
mafuta mlio mnao ni kiasi gani?? ukijibu swali hili ndio nitakuelewa...kwa sasa ni kama tu kuhesabu vifaranga kabla hawajaanguliwa...
 
u.jpg


A team of experts from Uganda and Tanzania informing President Magufuli of significant oil discoveries in the Eyasi valley and around lake Tanganyika also around areas of Sekenke, Mwanzugi and Kining'inila in the Manonga valley within Igunga in Tabora.

CC:
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Sizonje atakurupuka na kuwaambia wachimbaji wadogo waende kuchimba oil kwa sururu!
 
Gabon ndio model yako?watz tunafikiria nje ya box wewe,now mazungumzo yanaendelea na wadau wa gas kuhusu Host Government Agreement(HGA) kuhusu LNG plant Mtwara.soon msijali tutawaletea bomba huko la gesi tuwauzie
you are thinking out of the box yet you are still a poor LDC country...I think it is not working...😀😀😀ubaya wenu ni kujiskia sana ila hamna lolote...
 
Sizonje atakurupuka na kuwaambia wachimbaji wadogo waende kuchimba oil kwa sururu!
Msipende kuwa mnavuruga mada zawatu na upumbavu wenu!!
Mmeshindwa kuchangia piteni wima
sio kila kitu Ukibendera tu mnaboa !
 
Uganda and Kenya have had oil for years....Kenya has almost 1 Billion barrels of oil but even if we were to start production, I dont see a big impact it will do to the economy...this is the same for Uganda..dont think that Uganda or Kenya will now become Africa;s largest economy because of oil...hamna cha kusherehekea hapa

Ukiishiwa chakupinga nibora ukapapasa hayo macho yako kama kibatari kisha unapita wima!
Wacha kulinganisha Mafuta ya vibaba kenya yakubebwa na magari na Haya tunayo zungumzia!

Tunajua wakenya lazima kiwaume
 
Hongereni waswahili kwa kuvumbua mafuta bila kuyachimba!! Anyway mna raslimali nyingi tu, dhahabu , almasi ,tanzanite, gesi , coal just to mention a few lakini mpo pale pale, nchi maskini tajika ...what makes you think anything will change? Ukweli ni kwamba Tz ni ze home of kapukuz namba moja afrca, hamjui mnaenda ama mnarudi! [emoji23][emoji23]
 
mafuta mlio mnao ni kiasi gani?? ukijibu swali hili ndio nitakuelewa...kwa sasa ni kama tu kuhesabu vifaranga kabla hawajaanguliwa...
Eneo lenye mafuta linahusisha mikoa ya Shinyanga, Tabora (1st biggest region of Tanzania), Simiyu, Singida hiyo bado Lake Tanganyika
 
Ukiishiwa chakupinga nibora ukapapasa hayo macho yako kama kibatari kisha unapita wima!
Wacha kulinganisha Mafuta ya vibaba kenya yakubebwa na magari na Haya tunayo zungumzia!

Tunajua wakenya lazima kiwaume
nimewaambia oil drop mbili msianze kununua vinywaji na vyakula na kuanza kualika wageni...Nigeria wana oil nyingi inameza nchi zote za afrika ila waone walipo leo?? 😀😀😀😀nyinyi oil drop mbili mmeanza kununua fireworks...😀😀😀 Kenya has oil SA has oil but we dont even pay attention to it as an economic boom...we pay attention to other sectors...oil will not bring economic success overnight...just ask Nigeria...
 
Eneo lenye mafuta linahusisha mikoa ya Shinyanga, Tabora (1st biggest region of Tanzania), Simiyu, Singida hiyo bado Lake Tanganyika
why are you beating around the bush? the question was easy...how much oil do you have? Kenya has 1 Billion barrels...tumia mfano huo...
 
nimewaambia oil drop mbili msianze kununua vinywaji na vyakula na kuanza kualika wageni...Nigeria wana oil nyingi inameza nchi zote za afrika ila waone walipo leo?? 😀😀😀😀nyinyi oil drop mbili mmeanza kununua fireworks...😀😀😀
Umekalili Endelea hivyoTanzania hii ya Magu sio yakuifananisha na hao unao orodhesha hapa
 
Umekalili Endelea hivyoTanzania hii ya Magu sio yakuifananisha na hao unao orodhesha hapa
Namheshimu sana Mr. Magu ila hakuna anachoweza kufanya ili muwe na oil nyingi...kwa hiyo stop celebrating over two drops of oil....kisha ukumbuke nchi ikipata mafuta hsabu miaka kumi za feasibility studies na contracts ili ianze kuuza mafuta hayo....most importantly, investors will not pay any attention to little oil...ndio maana nikawaambia wenzako wawache kusherehekea ujinga...
 
Uganda and Kenya have had oil for years....Kenya has almost 1 Billion barrels of oil but even if we were to start production, I dont see a big impact it will do to the economy...this is the same for Uganda..dont think that Uganda or Kenya will now become Africa;s largest economy because of oil...hamna cha kusherehekea hapa...oil drop mbili mshaandaa party..watz kwa akili ndogo hamna anayewashinda 😀😀😀😀 yaani mnasherehekea oil drop mbili??? hehe..sisi tuna oil nyingi ila hata hakuna excitement hapa...bado shida zipo tu na zitaendelea kuwa hata wakianza ku export mafuta..we will not be a first world country because of oil...just ask Nigeria...
NAJUA maisha hayawezi kuwa kama qatar au Saudi,sema sio mbaya zikija kutop up hata kama ni tu $ 2 bil a year sio mbaya,and that goes kwa kenya na Uganda
 
Back
Top Bottom