There is oil in Tanzania

Gabon ndio model yako?watz tunafikiria nje ya box wewe,now mazungumzo yanaendelea na wadau wa gas kuhusu Host Government Agreement(HGA) kuhusu LNG plant Mtwara.soon msijali tutawaletea bomba huko la gesi tuwauzie
 
Pipeline tu mlivaa chupi kichwani itakua mafuta acha kunichekesha hahaha

Sizitaki mbichi hizi
mafuta mlio mnao ni kiasi gani?? ukijibu swali hili ndio nitakuelewa...kwa sasa ni kama tu kuhesabu vifaranga kabla hawajaanguliwa...
 
Sizonje atakurupuka na kuwaambia wachimbaji wadogo waende kuchimba oil kwa sururu!
 
Gabon ndio model yako?watz tunafikiria nje ya box wewe,now mazungumzo yanaendelea na wadau wa gas kuhusu Host Government Agreement(HGA) kuhusu LNG plant Mtwara.soon msijali tutawaletea bomba huko la gesi tuwauzie
you are thinking out of the box yet you are still a poor LDC country...I think it is not working...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ubaya wenu ni kujiskia sana ila hamna lolote...
 
Sizonje atakurupuka na kuwaambia wachimbaji wadogo waende kuchimba oil kwa sururu!
Msipende kuwa mnavuruga mada zawatu na upumbavu wenu!!
Mmeshindwa kuchangia piteni wima
sio kila kitu Ukibendera tu mnaboa !
 
Ukiishiwa chakupinga nibora ukapapasa hayo macho yako kama kibatari kisha unapita wima!
Wacha kulinganisha Mafuta ya vibaba kenya yakubebwa na magari na Haya tunayo zungumzia!

Tunajua wakenya lazima kiwaume
 
Hongereni waswahili kwa kuvumbua mafuta bila kuyachimba!! Anyway mna raslimali nyingi tu, dhahabu , almasi ,tanzanite, gesi , coal just to mention a few lakini mpo pale pale, nchi maskini tajika ...what makes you think anything will change? Ukweli ni kwamba Tz ni ze home of kapukuz namba moja afrca, hamjui mnaenda ama mnarudi! [emoji23][emoji23]
 
mafuta mlio mnao ni kiasi gani?? ukijibu swali hili ndio nitakuelewa...kwa sasa ni kama tu kuhesabu vifaranga kabla hawajaanguliwa...
Eneo lenye mafuta linahusisha mikoa ya Shinyanga, Tabora (1st biggest region of Tanzania), Simiyu, Singida hiyo bado Lake Tanganyika
 
Ukiishiwa chakupinga nibora ukapapasa hayo macho yako kama kibatari kisha unapita wima!
Wacha kulinganisha Mafuta ya vibaba kenya yakubebwa na magari na Haya tunayo zungumzia!

Tunajua wakenya lazima kiwaume
nimewaambia oil drop mbili msianze kununua vinywaji na vyakula na kuanza kualika wageni...Nigeria wana oil nyingi inameza nchi zote za afrika ila waone walipo leo?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nyinyi oil drop mbili mmeanza kununua fireworks...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kenya has oil SA has oil but we dont even pay attention to it as an economic boom...we pay attention to other sectors...oil will not bring economic success overnight...just ask Nigeria...
 
Eneo lenye mafuta linahusisha mikoa ya Shinyanga, Tabora (1st biggest region of Tanzania), Simiyu, Singida hiyo bado Lake Tanganyika
why are you beating around the bush? the question was easy...how much oil do you have? Kenya has 1 Billion barrels...tumia mfano huo...
 
Umekalili Endelea hivyoTanzania hii ya Magu sio yakuifananisha na hao unao orodhesha hapa
 
you are thinking out of the box yet you are still a poor LDC country...I think it is not working...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ubaya wenu ni kujiskia sana ila hamna lolote...
Weka hoja,acha viroja.
 
Umekalili Endelea hivyoTanzania hii ya Magu sio yakuifananisha na hao unao orodhesha hapa
Namheshimu sana Mr. Magu ila hakuna anachoweza kufanya ili muwe na oil nyingi...kwa hiyo stop celebrating over two drops of oil....kisha ukumbuke nchi ikipata mafuta hsabu miaka kumi za feasibility studies na contracts ili ianze kuuza mafuta hayo....most importantly, investors will not pay any attention to little oil...ndio maana nikawaambia wenzako wawache kusherehekea ujinga...
 
NAJUA maisha hayawezi kuwa kama qatar au Saudi,sema sio mbaya zikija kutop up hata kama ni tu $ 2 bil a year sio mbaya,and that goes kwa kenya na Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…