There is oil in Tanzania

why are you beating around the bush? the question was easy...how much oil do you have? Kenya has 1 Billion barrels...tumia mfano huo...
Hilo bado halijabainishwa haswa, lakini sio hiyo lotion yenu.
 
Hilo bado halijabainishwa haswa, lakini sio hiyo lotion yenu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€umesema haijabainishwa kisha ushaanza kufananisha na 1 billion barrels za Kenya..na hata hizo za Kenya bado ni kidogo sana....lol! haya my advice is this...first, bainisha ni mafuta kiasi gani ndio uje hapa kufungua champagne bottles...kwa sasa hata inaweza kuwa ni 200 million barrels...hamna investor atakayejishugulisha na drop mbili za mafuta...unless you have oil like the one in Nigeria, which I doubt, dont start celebrating...
 
the good thing is the discoveries confirm the EA pipeline's direction for good
 
the good thing is that confirms the pipeline direction
pipeline ni mambo ya zamani..dont dwell in the past..hata bila oil bado itatumia Tanzanian route...ila hio haitubabaishi...sisi tuna mawazo yetu bana..cha muhimu, dont celebrate over two drops of oil...
 
jibu swali...why is Tanzania still an LDC country?? si umesema you have been thinking out of the box?
What were we talking about?oil and gas sector?still at its infancy so in this perspective,we are coming with an agreement that's different from the ones you're familiar with.The ones that other countries will come to learn in the near future.
 
pipeline ni mambo ya zamani..dont dwell in the past..hata bila oil bado itatumia Tanzanian route...ila hio haitubabaishi...sisi tuna mawazo yetu bana..cha muhimu, dont celebrate over two drops of oil...
looooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooser
 
What were we talking about?oil and gas sector?still at its infancy so in this perspective,we are coming with an agreement that's different from the ones you're familiar with.The ones that other countries will come to learn in the near future.
umejibu vizuri
 
pipeline ni mambo ya zamani..dont dwell in the past..hata bila oil bado itatumia Tanzanian route...ila hio haitubabaishi...sisi tuna mawazo yetu bana..cha muhimu, dont celebrate over two drops of oil...
sema upande wetu (EA) miaka 10/15 ijayo unaweza ukatisha sana,God bless us
 
sema Tanzania
sababu Kenya na Uganda na Rwanda wapo South Africa sio? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ama nchi hizi ziko katika hali mahututi kiuchumi???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we are still developing too..very fast...especially Rwanda
 
Nyie kaa kushoto you are not our class sisi ni wa kuongea na Uganda, Nigeria nyie kaongeeni na Kigoma wawape ujanja wa ufungashaji mawese
 
Tumejipangaa...mwaka huu wataisomaaa[emoji3] [emoji3] [emoji445] [emoji445] [emoji191]
 
Nyie kaa kushoto you are not our class sisi ni wa kuongea na Uganda, Nigeria nyie kaongeeni na Kigoma wawape ujanja wa ufungashaji mawese
kwanza mtushinde kiuchumi kwanza.....ndio tutakaa kando...kwa sasa, ni nyie mnaofaa kukaa kando...we are not in your LDC level...our per capita income is twice yours...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hatuko level moja bana...we are in middle income status and our capital city is the regional hub of East and Central Africa..we are richer both in terms of per capita income and in terms of GDP...we have the highest literacy levels...the fastest Internets speeds...the most developed industrial sector..we have the most developed mobile money sector in the world...we export a third of the total exported flowers in the planet...we are top tea exporters in the world..now tell me, who should move out of the way?? you or us???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooovu la utomvu wa mpapai hili! Khaaa...
 
poooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooovu la utomvu wa mpapai hili! Khaaa...
naona hoja kwisha...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€RIP hojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
i told kenyans kipind tunapigania pipeline ya EA, kuwa watakuwa na option 2, wapitishe mafuta yao TANGA au wabebe kwenye malori. endeleen kurudia uchaguz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…