There is oil in Tanzania

Hizi ni habari njema. Tunawapongeza timu ya wataalam waliohusika na utafiti na hatimaye ugunduzi huo!
 
Mbona waarabu kwenye hii sector ya mafuta imewatoa sana... Sijui kwanini Africa inakuwa ngumu sana angalia Nigeria haikustaili iwe hapo ilipo

walio kuwa wamesha fika mbali na kwenye sector ya mafuta ni Libya

Hayo mafuta yatachukua mda gani kuchimbwa wakuu????
 
Tatizo ni degree, zetu asante mkenya kwa kutuambia ukweli
 
Kwa nini watanzania hatuna jema, kila jitihada tunabeza, tumerogwa nini?
 
U don't have to ask Nigeria which is engulfed with corruption like our northern neighbors
 
Nigeria inayo mafuta chungu nzima,DRC ina madini ya kupindukia na Tz iko na... anyway what i'm trying to say is having all these doesn't mean you have arrived into riches or into world stage.Sweden haina mafuta ,Japan haina madini lakini waangalie walivyo mbele ya nchi zenye raslimali.
 
Ati Kenya ina mafuta kiasi gani? [emoji23] [emoji115] Is that figure representing recovable reserves ama? FYI Kenya has 600 mln barrels n out of which only 300 mln barrels r recovable!
 
huvu gesi ya mtwara imeshaanza kutoka
 
Mbona unatolea mifano kwa nchi zilizoshindwa, kwa nini usitolee mifano kwa nchi zilizofanikiwa kama Norway na nchi za Uarabuni ambazo zimefaidika?, acha kujifunza kwa walioshindwa, siku zote mtu mwenye busara hujifunza na kujilinganisha na waliofanikiwa sio walioshindwa, kuwa na rasilimali za kutosha ni factor kubwa sana ya kusonga mbele, hizo nchi ulizotaja, nyingi zimerudishwa nyuma na tatizo la rushwa na uongozi mbaya, Tanzania haina matatizo hayo, kuna uwezekano mkubwa sana Tanzania kufanikiwa hasa chini ya Magufuli, stay tuned.

Ati Kenya ina mafuta kiasi gani? [emoji23] [emoji115] Is that figure representing recovable reserves ama? FYI Kenya has 600 mln barrels n out of which only 300 mln barrels r recovable!
 
Reactions: Oii
Mbona baada ya ugunduzi Wa gesi ndio Hall imekuwa mbaya zaidi na deni ndio linakuwa kwa kasi zaidi?
Bila ccm kuitoa kwanza ni kazi bure
 
Mbona baada ya ugunduzi Wa gesi ndio Hall imekuwa mbaya zaidi na deni ndio linakuwa kwa kasi zaidi?
Bila ccm kuitoa kwanza ni kazi bure
Toa udhibitisho wa unachosema!
 
Reactions: Oii
Mbona baada ya ugunduzi Wa gesi ndio Hall imekuwa mbaya zaidi na deni ndio linakuwa kwa kasi zaidi?
Bila ccm kuitoa kwanza ni kazi bure
Tena muwe mnanyamaza tu kama sio hii gas nadhani tungekua tunatumia vibatari huu umeme tunaopata sasa hivi unafikiri unazalishwa na maji wote? Kwa ukame huu? Watanzania mbona Mna akili finyu kiasi hiki wepesi wa kuponda lakini wazito wa kufikiri.
 
Uache uchawi, mbona unatutolea mifano ya walioshindwa?

Kwanini usituweke kwenye group la wataofaidika na rasilimali hii? Maneno yako siyo sheria na wala hayatubabaishi najua roho imekuuma sana kuona Tanzania imegundua mafuta lakini haituzuii kupaa kiuchumi. JPM atatufikisha mahali pazuri tunamuamini.
 
Nafikiri hata Namibia nchi yao ilibadilika kabisa baada ya kugundulika mafuta walipaa kiuchumi kabisa kikubwa ni maslahi ya taifa kwanza.

Ninaomba mikataba ya mafuta isainiwe na Magufuli sababu hapatakua na ufisadi, huwezi kulinganisha Nigeria ile nchi ilishaoza kwa rushwa kama Kenya ilivyooza angalia tu hiyo SGR yao walivyotafunwa.
 
Kwa kweli Tanzania Mungu katupendelea, jana nilikua naiangalia ramani ya Tanzania kila kanda Kuna utajiri wa kutisha kuanzia mashariki, Magharibi, kaskazini, kusini pote kuna rasilimali hadhimu sioni sababu yoyote ya nchi yetu kutokusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…