Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
nadhani una Google...mfanye awe rafiki yako....Ati Kenya ina mafuta kiasi gani? [emoji23] [emoji115] Is that figure representing recovable reserves ama? FYI Kenya has 600 mln barrels n out of which only 300 mln barrels r recovable!
very true...sioni sababu ya nchi kama hii kuwa LDC na utajiri huu wote na upendeleo wa Mola...Kwa kweli Tanzania Mungu katupendelea, jana nilikua naiangalia ramani ya Tanzania kila kanda Kuna utajiri wa kutisha kuanzia mashariki, Magharibi, kaskazini, kusini pote kuna rasilimali hadhimu sioni sababu yoyote ya nchi yetu kutokusonga mbele.
Sababu nyie ni waafrika na walioshindwa ni miafrika kama sisi sote.Je wewe una ngozi kama ya wenyeji wenye raslimali UAE ,Qatar ,Brunei ,Kuwait ama Norway?Uache uchawi, mbona unatutolea mifano ya walioshindwa?
Kwanini usituweke kwenye group la wataofaidika na rasilimali hii? Maneno yako siyo sheria na wala hayatubabaishi najua roho imekuuma sana kuona Tanzania imegundua mafuta lakini haituzuii kupaa kiuchumi. JPM atatufikisha mahali pazuri tunamuamini.
Hakuna hata siku moja ur media mentions recovable oil out of that 600mln barrels! Ushajiuliza why? Mimi naongea kama mtu nayefahamu hii sector. Siku zote ground physical features huzuia uwezekano wa ku-take crude to 100%, a reason I give 300 mln barrels of recoverable crude as a accurate figure.[emoji115]nadhani una Google...mfanye awe rafiki yako....
Raslimali ile nzuri zaidi na yenye kudumu na mafanikio ni ile ya akili ,fikra na tamaduni za kimaendeleo.Hivi leo ukiwapeleka waafrika wote Marekani na ulete waMarekani wote Afrika ...baada ya miaka hamsini tu utaona waafrika wanataka kurudi kwao sababu wameharibu Merakani waliopata na Afrika imeshakuwa mfano bora zaidi.very true...sioni sababu ya nchi kama hii kuwa LDC na utajiri huu wote na upendeleo wa Mola...
Bongo lala umpe free money? Hahaha unataka watu wawe comatose kabisa kazi kusubiri kila kitu aletewe?Damn,what more can I say?,kilichobaki ni kuweka mipango yetu vzuri ili kuwe na universal income kwa kila mtanzania apate
Unaweza kutuwekea hapa mapato ya gas annually katika pato la taifa kama mchango wake tofauti na hapo awali?Uache uchawi, mbona unatutolea mifano ya walioshindwa?
Kwanini usituweke kwenye group la wataofaidika na rasilimali hii? Maneno yako siyo sheria na wala hayatubabaishi najua roho imekuuma sana kuona Tanzania imegundua mafuta lakini haituzuii kupaa kiuchumi. JPM atatufikisha mahali pazuri tunamuamini.
Tatizo ukiwa hujui kinachoendelea na ukawa hujui kama hujui ndiyo mwazo wa kujidhalilisha, nani aliyekuambia gas imeanza kutumika kufanya biashara?, gasi iliyoanza kutumika ni kwa ajili ya kuzalisha umeme, ili gas iweze kuuzwa nje ni lazima kiwanda kijengwe cha kuigeuza iwe maji iweze kupakiwa kwenye meli na kwenye malori ndiyo iweze kupelekwa sokoni, kiwanda pekeyake cha kuchakata gas ni $30B, ndiyo wawekezaji wapo kwenye maandalizi ya kukijenga, wewe unadhani ni biashara ya kupanda viazi baada ya miezi sita unavuna?, kwa taarifa yako, inaweza kuchukua hadi miaka kumi kutoka sasa ndiyo hicho kiwanda kikamilike, wewe endelea kukaa kusubiria faida ya gas ndani ya miaka miwili kama utaiona.Unaweza kutuwekea hapa mapato ya gas annually katika pato la taifa kama mchango wake tofauti na hapo awali?
Mawazo ya kukata tamaa haya na kushindwa kabla hata ya kujaribu, endelea hivyo hivyo sisi tunarekebisha makosa na kusonga mbele kurudi Israel, japo tunajua kwamba hapo katikati kuna bahari, lakini kwa sababu tupo na Moses na fimbo yake mkononi, hatuna shaka tutafika tu.Raslimali ile nzuri zaidi na yenye kudumu na mafanikio ni ile ya akili ,fikra na tamaduni za kimaendeleo.Hivi leo ukiwapeleka waafrika wote Marekani na ulete waMarekani wote Afrika ...baada ya miaka hamsini tu utaona waafrika wanataka kurudi kwao sababu wameharibu Merakani waliopata na Afrika imeshakuwa mfano bora zaidi.
Umesahau kwamba kipindi chote cha Nyerere tulisimamisha shughuli zote za uchumi ukiwemo uvunaji wa madini ili kwanza kujenga umoja wa kitaifa?, japo uchumi ulisimama lakini huoni kwamba tulijenga misingi bora ya kufikia uchumi endelevu?, leo hii taifa halina matabaka yanayotishia jamii kugawanyika kwa misingi ya kabila, eneo, rushwa wala kipato, sasa hivi ni wakati muafaka kuanza kuchimba madini kwa ajili ya taifa zimavery true...sioni sababu ya nchi kama hii kuwa LDC na utajiri huu wote na upendeleo wa Mola...
Mpaka viroja vyako ikakwishia mbali mazima?umejibu vizuri
Hiki kilichopo kwenye madaraka ni chuma pua,ni habari nyingine kabisa,huoni juzi juzi bunge limebadilisha sheria za madini?Sioni tofauti, leo wala kesho, gesi ya mtwara maneno yalikuwa yale yale, dhahabu maneno yale yale, uranium pia, ninachoona deni la taifa linazidi , watu wanatembea huku wanazungumza kilugha kwa njaa
We've been Teaching you countless times that Natural Gas will not directly benefit majority overnight,gesi
madini
bado tunasema hatutaongeza mishahara mpaka uzalishaji uongezeke.
mafuta yatakusaidia nini ikiwa gesi mliaminishwa kuwa ingekuwa mkombozi?
unaweza kuiweka kwa kiswahili ili nielewe vizuri? kizungu kilinipita kando mkuuWe've been Teaching you countless times that Natural Gas will not directly benefit majority overnight,
Did u know 50% of our power comes from Natural Gas driven plants, ???
After We install the LNG Plant in Lindi, probably by 2025 there we'll realize the direct benefits of Fuel and Gas to all of us.
You need to try to understand these things.