There is something wrong with Nandy

There is something wrong with Nandy

Yote tisa!
ATAFUTE MTU WA KUMVALISHA!
pls pls!
make up wala hana kazi sana as in ana kasura tu kake unique!
ILA ZILE KANYELA MUMO ANAZOVAA, not raiti!
 
Yah , kwa sura tu kwa kweli Mungu alimuumba, she doesn’t need a heavy make up on her face to look cute , ni vile nadhan hanaga tu damu ya nguo kama Jide au Sijui Ndo anakosa wa kumvalisha
 
Basi mie niko tofauti kidg...eti mie naona nandy anaimba Flat...hasumbuk ht mtoto anaimba nyimbo zake..sijui niielezej..mtu anayejua kuimba ni yule anayecheza na vocals.anaiimbia kifuani smtynz tumboni...mpo?ss vanesa na ruby ndo waimbaj wazuri...nandy anaimba kawaida sana. sema mtamu..uzuri unambeba..!na analipwa pesa ndf nadhan kwasasab kawa promoted sana
 
Et eeh ? Ile rangi na sura vinambeba ila pia sauti anayo bhana ni vile tu kuna kitu Ana miss, mi napendaga sana nyimbo zake, kanaimba ila sio kama nandy, mi mashauz yake tu ya ajabu ajabu, kanajikuta sana , sasa angeku level za kina vee Sijui ingekuaje

Mi nakapendaga ka Vee kako vzur ila hakanaga maringo hata kale, kako so sweet n simple
 
Hahahaa...bas mie nandy nyimbo zak naziona kawaida..tena wala sisumbuki...chek nyimbo yyt ya vee..au hii ya ruby aloimba na prof..mie napenda mapigo hayo..bibi yangu mwenyew nyimbo za nandy anaimba..yupo kawaida sana..km maksi ni 40 kwakwel...!

ukikutana na mtu anayejua hizo keys za uimbaj utanielewa...hajui cheza na sauti.!
 
Huyo original east ni msanii au??ni nani haswa??
 
Sasa hapo unaona nani ana hasara??
Kwani Nandy kapata hasara gani muziki wake umepotea au mashabiki wake wamepungua? Kiuhalisia wote walichofanya siyo kizuri na wote wana makosa ila kwa vile hii jamii imejaa mfumo dume na mitazamo hasi juu ya wanawake basi lazima mwanamke ndo aonekane ana hasara yaani huwa nashindwa kuelewa inakuwaje tendo ambalo linahusisha jinsia mbili halafu matusi yanaenda kwa jinsia moja hivi inaingia akilini kweli hiyo?
 
Basi hapa najua utasema wanawake tunataka kushindana au kuwa sawa na wanaume maana ndo majibu yenu hayo wanaume hapo swala siyo kutaka kushindana wala kuwa sawa bali tendo linalohusisha jinsia mbili kosa linaonekanaje ni la jinsia moja?
 
Back
Top Bottom