Yote tisa!
ATAFUTE MTU WA KUMVALISHA!
pls pls!
make up wala hana kazi sana as in ana kasura tu kake unique!
ILA ZILE KANYELA MUMO ANAZOVAA, not raiti!
Basi mie niko tofauti kidg...eti mie naona nandy anaimba Flat...hasumbuk ht mtoto anaimba nyimbo zake..sijui niielezej..mtu anayejua kuimba ni yule anayecheza na vocals.anaiimbia kifuani smtynz tumboni...mpo?ss vanesa na ruby ndo waimbaj wazuri...nandy anaimba kawaida sana. sema mtamu..uzuri unambeba..!na analipwa pesa ndf nadhan kwasasab kawa promoted sana
Et eeh ? Ile rangi na sura vinambeba ila pia sauti anayo bhana ni vile tu kuna kitu Ana miss, mi napendaga sana nyimbo zake, kanaimba ila sio kama nandy, mi mashauz yake tu ya ajabu ajabu, kanajikuta sana , sasa angeku level za kina vee Sijui ingekuaje
Mi nakapendaga ka Vee kako vzur ila hakanaga maringo hata kale, kako so sweet n simple
Original East siyo Mange KimambiMange kimambi
Ila Nenga ambaye alimpiga vidole ndo una hamu naye?Mi toka apigwe midole ya m@t@k0 na Nenga sina hamu nae tena, na mchupi wake ule.
Ila Nenga ambaye alimpiga vidole ndo una hamu naye?
Mi swali langu lipo palepale, Bashite ni nani mpaka ajitie kimbelembele na jezi za timu ya taifa?
Kwani Nandy kapata hasara gani muziki wake umepotea au mashabiki wake wamepungua? Kiuhalisia wote walichofanya siyo kizuri na wote wana makosa ila kwa vile hii jamii imejaa mfumo dume na mitazamo hasi juu ya wanawake basi lazima mwanamke ndo aonekane ana hasara yaani huwa nashindwa kuelewa inakuwaje tendo ambalo linahusisha jinsia mbili halafu matusi yanaenda kwa jinsia moja hivi inaingia akilini kweli hiyo?Sasa hapo unaona nani ana hasara??
Sasa hapo unaona nani ana hasara??
Basi hapa najua utasema wanawake tunataka kushindana au kuwa sawa na wanaume maana ndo majibu yenu hayo wanaume hapo swala siyo kutaka kushindana wala kuwa sawa bali tendo linalohusisha jinsia mbili kosa linaonekanaje ni la jinsia moja?Kwani Nandy kapata hasara gani muziki wake umepotea au mashabiki wake wamepungua? Kiuhalisia wote walichofanya siyo kizuri na wote wana makosa ila kwa vile hii jamii imejaa mfumo dume na mitazamo hasi juu ya wanawake basi lazima mwanamke ndo aonekane ana hasara yaani huwa nashindwa kuelewa inakuwaje tendo ambalo linahusisha jinsia mbili halafu matusi yanaenda kwa jinsia moja hivi inaingia akilini kweli hiyo?