Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

Doh nipatieni picha ya Anna Abdala enzi hizo,maana alikuwa mshiriki wa Miss Tanzania...
 
Ni marehemu sasa hivi,na sio Miss Tanzania wa kwanza bali wa mwisho kabla shindano halijafutwa na serikali na kuja kufufuliwa tena 1994.

Emily Adolph akaharibu mambo tena na yeye baada ya kutembea uchi tena
 
Emily Adolph akaharibu mambo tena na yeye baada ya kutembea uchi tena
Mkuu tatizo la Emily mwaka 1995 alikuwa mwanafunzi wa form 3 alipojiunga na mashindano na kushinda,kimbembe kilikuwa alipotaka kurudi shule Mwalimu Mkuu akadai kwa kutembea uchi-yaani vazi la ufukweni kaidhalilisha shule na pia hakupewa ruhusa akafukuzwa.
Waziri wa Elimu akampangia shule ingine.
 
Kumbe watoto wazuri kuvaa mapaja yakiwa wazi haijaanza leo??

UCHI.jpg
 
Huyo white kuliko wote nitampataje? Naona ana mvuto wa kufa mtu
 
Back
Top Bottom