Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 758
Sikubali, Bi Kidude hayupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nimwone alivyo sasa hivi kama bado yu hai!
Kulikuwa na uhalali wa kuyapiga marufuku mashindano hayo. Kumbe utamaduni wa kitanzania ulianza kukiukwa siku nyingi!
Miaka hiyo mama zetu wakimgawya, maana kuweka paja nje ilikuwa issue!masopakyindi So huyo ndo alikuwa miss!dah!
![]()
Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.
![]()
Mtoto analipa sana
Heaven Sent umefanana na huyu binti..Ni ndugu yako??![]()
Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.