Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania






Aliitwa Theresa Shayo (Kama unavyomuona umbile lake bila shaka enzi hizo walitumia vigezo vya umbile halisi la mwafrica(sio ukimbau mbau kama sasa ambao n maumbile ya wazungu Theresa..alitwaa taji kwenye shindano lilofanyika hoteli ya Kilimanjaro, alifariki dunia january 26 mwaka 2007na maradhi ya kansa ya tumbo.

. Alikuwa na umri wa miaka 61.Mama huyo hakuwahi kupata mtoto na alikuwa akiishi mjini Augsburg ambako alliolewa na mjerumani aitwaye Chrstian Rieger ambaye waliachana.

Hadi anakufa alikuwa akiishi na boy friend aitwaye Tonny. Kabla ya hapo Theresa alikuwa akiishi peke yake mtaa wa Schmiedberg namba 9 katikati ya mji wa Augsburg na alimwachia nyumba hiyo mtanzania aitwaye Othman Lukindo.´ mama Theresa kama lilivyokuwa jina lake alikuwa na mapenzi makubwa sana na watoto pamoja na kwamba yeye hakujaaliwa kuzaa.

Mama Theresa Shayo au Theresa Rieger mwili wake ulichomwa moto (kwa matakwa yake mwenyewe marehemu) baada ya misa katika kanisa la westfreittof na majivu yake kuzikwa katika makaburi ya hapo hapo Westfrettorf mjini Augsburg uliyoko jirani na jiji la Munich!
 
X-PASTER Kumbe majina ya kichaga yalianza kuchomoza siku nyingi kwenye tasinia ya Umiss!! Kumbe siyo Temu tyuu hata MAEDA.
 
Last edited by a moderator:
aisee alikuwa mtoto wa nguvu c mchezo..! da.. inahuzunisha alikufa bila mtoto,na mashaka na enz hzo bila shaka wajeruman walimhasi asizae na mjeruman! RIP mama teresaa! mbele yako nyuma yetu!
 

Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.

Looks like Funke Akindile the Nigerian movie star!
 

Miss Tanzania wa kwanza, Theresa Shayo akipita kwenye kingo za bwawa la kuogelea la hoteli ya Kilimanjaro mwaka 1967.
Heaven Sent umefanana na huyu binti..Ni ndugu yako??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…