GE2025 These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan

GE2025 These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan of Tanzania 🇹🇿 and Africa must put them on notice!

They are the Presidents of:

Zambia 🇿🇲
Somalia 🇸🇴
Burundi 🇧🇮 and
Mozambique 🇲🇿.

MY TAKE;
🤣🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1762208580100.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, Rais wa Msumbiji Daniel Chapo pamoja na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025. Marais hao pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali walihudhuria sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
SnapInsta.to_572739949_18299266939258462_6172057494518450259_n.jpg
 
These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan of Tanzania 🇹🇿 and Africa must put them on notice! They are the Presidents of:> Zambia 🇿🇲, Somalia 🇸🇴, Burundi 🇧🇮 and Mozambique 🇲🇿.
View attachment 3496889
So??
 
Samia anatupeleka kuwa kapu moja na Somalia, Burundi, na Msumbiji.

Hichilema ni smart man, mtu wa haki nafikiri labda amekuja kujaribu kumshauri Samia nyuma ya pazia atende haki ila amekosea kuja sababu hakukuwa na uchaguzi bali ubabe na uporaji.
 
Amekuja kwa njia hiyo ili akutane na ACT Wazalendo.. Nasikia ndo Mlezi wao
SnapInsta.to_427407993_892647049020058_1361221099621846990_n.jpg
 
WhatsApp Image 2021-08-15 at 22.31.36.jpeg
Zitto Kabwe akiwa na Hakainde Hichelema, picha ilipigwa mwaka 2016.
 
Ukiangalia vizuri, except Zambia wote ni maraisi wa nchi za hovyo zenye udini , ukabila na ukiukaji wa hali ya juu wa haki za binadamu, huwezi kuona Botswana, South Africa even Kagame hawezi kujiaibisha na wapuuzi kama Samia
 
These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan of Tanzania 🇹🇿 and Africa must put them on notice!

They are the Presidents of:

Zambia 🇿🇲
Somalia 🇸🇴
Burundi 🇧🇮 and
Mozambique 🇲🇿.

MY TAKE;
🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3496889
Takataka mavi
 
Sahihi kabisa
 
These are the Presidents who attended the swearing in of president Suluhu Hassan of Tanzania 🇹🇿 and Africa must put them on notice!

They are the Presidents of:

Zambia 🇿🇲
Somalia 🇸🇴
Burundi 🇧🇮 and
Mozambique 🇲🇿.

MY TAKE;
🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3496889

Hao wengine sawa. Ila Zambian President katulet down sana na amejipunguzia heshima yake kwa kuja.
 
Back
Top Bottom