ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Wakati mwingine ni bora usiwe na rafiki. Sasa level yako, rafiki zako ni watu kama hao wa Marais wa Burundi, Msumbiji, Somalia watakushauri kitu gani cha maana zaidi ya kukushauri upuuzi, jinsi ya kuwaumiza zaidi watu wako na kuiba zaidi?MaraHisi wa shithole countries.