They cause it and blame you........

They cause it and blame you........

Masai Pub to precise na ninakiu kali sana leo, jana nililianzisha nikarudi home mapema sasa leo nimekwisha acha notice nyumbani nitarudi mida mibovu.

Ntapiga breki hapo nikupe hi! Unajua hamna salamu nzuri kama ukiwa na mpwa na bia za baridi kwenye glasi kubwa.
 
Masai Pub to precise na ninakiu kali sana leo, jana nililianzisha nikarudi home mapema sasa leo nimekwisha acha notice nyumbani nitarudi mida mibovu.

......!HALAFU KESHO UNAKUJA NA THREDI MPYA aksesi denaid!kumbe unatumikia kifungo cha kurudi mida mibovu
 
......!HALAFU KESHO UNAKUJA NA THREDI MPYA aksesi denaid!kumbe unatumikia kifungo cha kurudi mida mibovu

Afadhali hicho kuliko UAMUZI potofu aliouchukua mpwa porgie. Lol!
 
Afadhali hicho kuliko UAMUZI potofu aliouchukua mpwa porgie. Lol!

Aisee kidude cha senksi kikirudi unadai moja, halafu ukifika masai una chui zako tatu za kuganda kabisa.
 
Aisee kidude cha senksi kikirudi unadai moja, halafu ukifika masai una chui zako tatu za kuganda kabisa.
hapa sasa utasababisha bwashee abadili uamuzi wake wa kurudi home
 
Hahaha nimeiona. Mi hapa kwangu kibatani nadhani kimekula vairas. Ngoja nikugongee cha kwangu. Thenksi!

Mpwa hao virus watakuwa ni chui wamekula sight drive, we kliki kitufe chochote utakacho kiona jirani hapo.
 
Aisee kidude cha senksi kikirudi unadai moja, halafu ukifika masai una chui zako tatu za kuganda kabisa.

Hiyo bold hapo umesema kitu cha maana kuliko vyote ulivyovisema mwezi huu. Nakugea senks kwa hapa. Thenks!
 
Ni hivi, my wife wako kabla ya kuoana mlikuwa mnamegana swafi tu..si unajua tena kila mkiwa/ukiwa na hamu ya kumega. sasa baada ya kuhalalishwa ratiba ikaja.....ooh mimi siwezi kila wakati, mara ikishafika usiku sana mi siwezi, nk. then with time una-learn kwamba yeye anakuwa happy tu kama mkimegana once a week na usipoitaka kivile, lakini ukiitaka anatoa nje.....then ww hiyo habari ya wiki kwa wiki utaiweza????
Xpin especially utaweza? au ndo itakuwa kama title ya thread with time?

Tafuta sehemu nyingine pa kumega, ukija home we unalala kama anavyopenda... just condomize!!
 
mpwa umesurahi kweli!hivi mpwa tulisoma wote CONSOLATA FATHERS' SEMINARY MAFINGA?

Mpe nafasi ya kujisafisha kwanza hizi mambo za semenya zilisababisha wakuu huko sauzi wakajuzuru sasa na mimi ikigundulika gkundi ni semenya nitapigana invisibo ajiuzuru fasta.
 
Mpe nafasi ya kujisafisha kwanza hizi mambo za semenya zilisababisha wakuu huko sauzi wakajuzuru sasa na mimi ikigundulika gkundi ni semenya nitapigana invisibo ajiuzuru fasta.
hehehehehehehe!
haya mpwa!
lakini huyu mtu ni kama ninamfahamu.ni HE
 
Back
Top Bottom