They cause it and blame you........

They cause it and blame you........

MJ1

tatizo sometime mtu anakuwa very cold kiasi kwamba hata utoe ishara za tausi bado utamkuta yuko bize na mambo mengine... au kama umewahi wewe room basi atajiyeyusha hapoooo mpaka kidodoma kilale fofofo[/QUOTE]


lol...atleast nimeianza cku yangu kwa kicheko....nitarudi ku comment.
 
gkundi tafadhari jisafishe naona umechafuliwa, au nawewe unataka tuunde kamati mwinyi usafishwe kama lowasa?

wala haitaji kujisafisha, huyo ni shemale . kama hawezi kumsatisfy mke wake halafu anajidai mke wake ndo hataki huyo mwanaume kweli? hajiulizi kwa nini mkewe hamtamani? wachaga wengine bwana hovyooooo!!! mbona wengine wanamridhisha huyo mkewe? mapenzi hujui una kazi ya kumlaumu mkeo. nenda kajifunze mapenzi acha ushamba wewe. mwanamke harukiwi kama dala dala. hata dala dala yenyewe pia ukiisimamisha inabidi usubiri isimame ndo upande ukipanda inatembea lazima upate mushkeri kidogo. you are so pathetic!!!!! mtu mzima hovyoooooooo.
 
Back
Top Bottom