Kifimbocheza
JF-Expert Member
- Aug 7, 2008
- 494
- 121
Ina maana asipoolewa na akawa anapatiwa kila kitu si atakuwa anazini maisha yake yote?
Do not encourage solitary lives. Its not natural, it is prone to deep psychological problems than you may think. And this is worse to women. Jitahidini mupate wabwana sio kujilwaza ooh single poa single poa tu kumbe sivyo.
Wadada wa KIBONGO wana mapozi kweli
Mi nilipata mmoja alikuwa amenizidi Umri UKWELI nilimpenda sana tukaanzisha Uhusiano lakini kutokana na mentality zake mbaya kuwa Umri umeenda kila siku anasema mimi si wa Kuolewa Umri Umeenda oooh mara wewe ni nini kimekuleta kwangu mimi Mzee, Usipomtafuta yeye ndio kwanza hata hajigusi kdddddddddk zake
Nikamwambie Pumbafuuuuuuuuuuuu yako mara saba kafie Mbali na Huta kaa uolewe kwani Menopause tayari.
Ssasa Aibu Inamchungulia Wadogo zake woooote wameolewa yeye Kabaki NUNGAYEMBE
Analeta Uzungu Bongo.eti I can live without kuolewa
Ngedere kweli yule demu. Nimetupa kuleeeeeeeee
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?
Hahahahaa! ameshakugongaeee!! pole sana. ndo maisha........productive, yes what about reproductive?
I feel sorry for ladies who are so thirsty of getting married
Kivipi? au kwa kutumia vivyaa vya ngono? au kwa kutumia chihuwahuwa? msisahau Mungu aliumba Mwanamke na Mwanaume kwa maana yake.
izi ni hasira za kukataliwa au?wadada wa kibongo wana mapozi kweli
mi nilipata mmoja alikuwa amenizidi umri ukweli nilimpenda sana tukaanzisha uhusiano lakini kutokana na mentality zake mbaya kuwa umri umeenda kila siku anasema mimi si wa kuolewa umri umeenda oooh mara wewe ni nini kimekuleta kwangu mimi mzee, usipomtafuta yeye ndio kwanza hata hajigusi kdddddddddk zake
nikamwambie pumbafuuuuuuuuuuuu yako mara saba kafie mbali na huta kaa uolewe kwani menopause tayari.
Ssasa aibu inamchungulia wadogo zake woooote wameolewa yeye kabaki nungayembe
analeta uzungu bongo.eti i can live without kuolewa
ngedere kweli yule demu. Nimetupa kuleeeeeeeee
what abt FACTORY?
Ha ha ha mkuu ume nichekesha. Si unajua tena mwanamke ana shikilia ufungua wa ego ya mwanaume? Hata kama unajiona handsome vipi dada akisha kuita ugly lazima uka jicheki kwenye kioo mara mbili mbili ha ha.
Binafsi mimi nadhani wanawake wengi wana chukulia ndoa kama ultimate goal bado japo kutokana na maisha kubadilika hamna haraka kama zamani (siku wepo zamani nahisi tu). Ila wanawake wengi (si wote) bado wanajali kuolewa.
Ila ngoja nisiongee kwa niaba ya dada zetu kwa sababu wao wenyewe wapo humu wata tueleza hisia zao. Mie naogopa bwani nyundo yangu nisije nika geuziwa mimi ha ha.
do you consider yourself as a manufacturing unit?
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?
Ndivyo unavyojidanganya ehh?Mtu kukataa kitu haina maana hawezi kua nacho!Na ukweli ni kwamba wengi wanapata nafasi za kuolewa wanazikataa,wasiozipata ndo wanakesha wakiwaza!There is nothing more satisfying than being able to get something and decide you don't want it!frustrated women who can not satisfy a man will say all these words.wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
Na mimi nakugongea ya kiroho zaidi!
Ndivyo unavyojidanganya ehh?Mtu kukataa kitu haina maana hawezi kua nacho!Na ukweli ni kwamba wengi wanapata nafasi za kuolewa wanazikataa,wasiozipata ndo wanakesha wakiwaza!There is nothing more satisfying than being able to get something and decide you don't want it!
Unaweza kutunza usitunziwe!Kuna msemo 'kuolewa ni bahati'. Hivyo usipoolewa utapungukiwa hiyo bahati na ukiolewa utakuwa umeongezewa bahati. Msemo mwingine 'kuolewa ni kutunza heshima' hivyo ukiolewa unapata heshima na usipoolewa huna heshima.
Hata kuzaa sio kila mtu anataka!Kuna watu wanachukia watoto utadhani wao hawakuwahi kua watoto!!Hata hivyo haihusiani na ndoa!kuzaa je?