They want me to marry, but where are the men?

They want me to marry, but where are the men?

Wadada wa KIBONGO wana mapozi kweli

Mi nilipata mmoja alikuwa amenizidi Umri UKWELI nilimpenda sana tukaanzisha Uhusiano lakini kutokana na mentality zake mbaya kuwa Umri umeenda kila siku anasema mimi si wa Kuolewa Umri Umeenda oooh mara wewe ni nini kimekuleta kwangu mimi Mzee, Usipomtafuta yeye ndio kwanza hata hajigusi kdddddddddk zake

Nikamwambie Pumbafuuuuuuuuuuuu yako mara saba kafie Mbali na Huta kaa uolewe kwani Menopause tayari.

Ssasa Aibu Inamchungulia Wadogo zake woooote wameolewa yeye Kabaki NUNGAYEMBE

Analeta Uzungu Bongo.eti I can live without kuolewa

Ngedere kweli yule demu. Nimetupa kuleeeeeeeee
 
Ina maana asipoolewa na akawa anapatiwa kila kitu si atakuwa anazini maisha yake yote?

Do not encourage solitary lives. Its not natural, it is prone to deep psychological problems than you may think. And this is worse to women. Jitahidini mupate wabwana sio kujilwaza ooh single poa single poa tu kumbe sivyo.

haa JF ina ammbo haswa....cha!....
 
Wadada wa KIBONGO wana mapozi kweli

Mi nilipata mmoja alikuwa amenizidi Umri UKWELI nilimpenda sana tukaanzisha Uhusiano lakini kutokana na mentality zake mbaya kuwa Umri umeenda kila siku anasema mimi si wa Kuolewa Umri Umeenda oooh mara wewe ni nini kimekuleta kwangu mimi Mzee, Usipomtafuta yeye ndio kwanza hata hajigusi kdddddddddk zake

Nikamwambie Pumbafuuuuuuuuuuuu yako mara saba kafie Mbali na Huta kaa uolewe kwani Menopause tayari.

Ssasa Aibu Inamchungulia Wadogo zake woooote wameolewa yeye Kabaki NUNGAYEMBE

Analeta Uzungu Bongo.eti I can live without kuolewa

Ngedere kweli yule demu. Nimetupa kuleeeeeeeee

haaa hii nayo kubwa kuliko, mbona ucm propose kumuoa uckie engekuwambiaje?...haaa
 
I feel sorry for ladies who are so thirsty of getting married
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?

Majibu ya haya yote utayapata ukiwa ndani ya ndoa! asa nje ya ndoa utajuaje?
 
I feel sorry for ladies who are so thirsty of getting married

ULE NI UGONJWA UNAOITWA ubongo sependoa...
anaenda mpk kwa mganga kisa ndoa..aahh ukingalia whats so spec kwa uyo ..utashangaa
 
wadada wa kibongo wana mapozi kweli

mi nilipata mmoja alikuwa amenizidi umri ukweli nilimpenda sana tukaanzisha uhusiano lakini kutokana na mentality zake mbaya kuwa umri umeenda kila siku anasema mimi si wa kuolewa umri umeenda oooh mara wewe ni nini kimekuleta kwangu mimi mzee, usipomtafuta yeye ndio kwanza hata hajigusi kdddddddddk zake

nikamwambie pumbafuuuuuuuuuuuu yako mara saba kafie mbali na huta kaa uolewe kwani menopause tayari.

Ssasa aibu inamchungulia wadogo zake woooote wameolewa yeye kabaki nungayembe

analeta uzungu bongo.eti i can live without kuolewa

ngedere kweli yule demu. Nimetupa kuleeeeeeeee
izi ni hasira za kukataliwa au?
 
Ha ha ha mkuu ume nichekesha. Si unajua tena mwanamke ana shikilia ufungua wa ego ya mwanaume? Hata kama unajiona handsome vipi dada akisha kuita ugly lazima uka jicheki kwenye kioo mara mbili mbili ha ha.

Binafsi mimi nadhani wanawake wengi wana chukulia ndoa kama ultimate goal bado japo kutokana na maisha kubadilika hamna haraka kama zamani (siku wepo zamani nahisi tu). Ila wanawake wengi (si wote) bado wanajali kuolewa.

Ila ngoja nisiongee kwa niaba ya dada zetu kwa sababu wao wenyewe wapo humu wata tueleza hisia zao. Mie naogopa bwani nyundo yangu nisije nika geuziwa mimi ha ha.

U DESERVE KISS NT NYUNDO.
mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
do you consider yourself as a manufacturing unit?

we umesema au unajaribu KUNIFIKIRIA?
if so hapana i didnt min t...labda uliza ivi ulikuwa unamaaana gan kuandika FACTORY..try to ast t again n i wl answa accdngly..pls ur welcome
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?

Ukishaolewa at least una uhakika wa sex wakati na muda unaojisikia tofauti na hizo za kuiba waume za watu
 
Hali ya sasa si kama zamani tulipokuwa wanaume tunapigana na kuchomana visu kwaajili ya wanawake,walikuwa wanathamani kubwa kama madini ya almasi lakini sasa kibao kimegeuka ukienda kwenye club za usiku utawaona wakijiuza kama nyanya sokoni pia hata mitaani utawaona wamevaa nguo za utata ili tu kuwatega wanaume kwani Wahenga walisema biashara ni matangazo! Ewe dada si kwamba wanaume hatutaki kuoa tunaogopa presha badilikeni na mvae mavazi ya heshima mtaolewa tu.
 
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words.wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
Ndivyo unavyojidanganya ehh?Mtu kukataa kitu haina maana hawezi kua nacho!Na ukweli ni kwamba wengi wanapata nafasi za kuolewa wanazikataa,wasiozipata ndo wanakesha wakiwaza!There is nothing more satisfying than being able to get something and decide you don't want it!
 
He wanawake kwa kudanganyana sie, ukiona mtu anasema hivyo ujue kashajikatia tamaa, kuolewa bomba bwana, tusiangalie uwezo wa kumudu maisha peke yake, ni vitu vidogo vidogo sana ndio vinafanya ndoa kuwa sehemu ya wewe kufurahia maisha, eti marriage is not everything, yes it can be so... but it is something that every woman wishes to experience bwana.... mi hii naiita sizitaki mbichi hizi
 
Ndivyo unavyojidanganya ehh?Mtu kukataa kitu haina maana hawezi kua nacho!Na ukweli ni kwamba wengi wanapata nafasi za kuolewa wanazikataa,wasiozipata ndo wanakesha wakiwaza!There is nothing more satisfying than being able to get something and decide you don't want it!

Kweli kabisa Lizzy wangu........ watu wasitake ku-generalize mambo hapa......😛lane:
 
Kuna msemo 'kuolewa ni bahati'. Hivyo usipoolewa utapungukiwa hiyo bahati na ukiolewa utakuwa umeongezewa bahati. Msemo mwingine 'kuolewa ni kutunza heshima' hivyo ukiolewa unapata heshima na usipoolewa huna heshima.
Unaweza kutunza usitunziwe!
 
Back
Top Bottom