They want me to marry, but where are the men?

mi napenda kuolewa kwa kweli. nikipata mume baolewa tu.
 
wewe! nani kakambia ulienda kule kwenye jamvi la mapenzi na uhusiano kuna dada hapati sex miaka minne kwa mumewe!nenda kasome thread inasema mume wangu jaman
Ukishaolewa at least una uhakika wa sex wakati na muda unaojisikia tofauti na hizo za kuiba waume za watu
 
Tupo tunaotaka kuoa pia... where are they...
 
kinachokatsha wanawake wengine tamaa ya kuolewa ni tabia mbaya ya baadhi ya wanaume,
lkn kuolewa ni kuzuri kama upendo,amani na kuheshimiana kutakuwepo.
 
There is no such thing as "Every woman wants this..or that!Every man is like this or that!"...Mimi na wewe hatuna matamanio wala malengo yanayofanana maishani kwahiyo experience unayotamani wewe is not necessarily what I would want aswell!

Mambo yote hayo uliyosema yanatokana na 'sizitaki mbichi hizi'
 

kwa wa 'sizitaki mbichi hizi' niliowahi kuwafahamu 99% ndio wanasifa hizo ulizotaja michelle, full stress, hasira kibao, confidence 10% basi tabu tupo, nawapa pole walioolewa halafu wanasifa ulizotaja lakini wameshindwa kujitambua..wajipe moyo mambo yatarudi tu kwenye mstari
 

Nashukuru kwamba unwaheshimu walioolewa, good gal! nani kakwambia tunapeana migongo na kununiana, ila kama unajua unasabisha hayo kwa ndoa ya mwenzio nakushauri uache, maana small house akichuja ni noma bora hata mother house hurejewa, utaishia kupelekena ustawi wa jamii hoo haleti matumizi, halipi ada...jipe muda utayaona
 

Well siad Paka..
 

Ujumbe umefika!
 

Nakuunga mkono sana ndugu..
 

Nimecheka hadi basi hahahahah!!!!!
Tatizo watu - wanawake na wanaume wamechanganyikiwa. Ukimgusa huyu atakuambia wamezidi..yule atasema hawashikiki! Kilichobaki ni kuishi kwa machale tu....Wakati kuna kashfa za hapa na pale kwa jinsi zote, ukweli unabaki kuwa wanawake na wanaume wanahitajiana.
 
mie sijui basi nikoje,nafuata upepo...kuna siku naamka nakubali kuolewa ni jambo la must,ila kuna siku naamka naona hapana naweza kuishi bila kuolewa!....nahisi hata nikiolewa nitakuwa mtu wa vimbwanga tu:laugh::laugh::laugh::laugh: l:twitch::twitch:
 
Ehh tafadhali dada tuheshimiane!!Kama huyo mume wa peke yangu simtaki wa mwenzangu ntampeleka wapi?
 
Ehh tafadhali dada tuheshimiane!!Kama huyo mume wa peke yangu simtaki wa mwenzangu ntampeleka wapi?

My dear Lizzy,umemsahau huyu mama,naomba usimjibu,ni wale wenye fikra kuwa tunapaswa kufuata kama yeye.....kwa kuwa yeye kaolewa,kila mwanamke aolewe,reasoning capacity yake imetekwa na ndoa,nahisi aliisubiri au hata kuiendea bagamoyo,inaonyesha asingeolewa angekuwa kuzimu anaungua,mpotezee,mi sina time nae......Great thinker gani ana assumption kuwa lazima kama hukuolewa utakuwa hawara ya mtu??? simlaumu,wote anaowajua wasioolewa ni mahawara......so generally nawe utakuwa una dream ya kuwa hawara kama si tayari,achana nae.........
 

MADAM T,usiongeze ushahidi kwenye hoja yangu usiokuwepo,mimi nimewaongelea rafiki zangu wewe unatia comment yako ati walikuwa sizitaki mbichi hizi kwa hiyo 99% yako,get a life,uwe unafanya utafiti sio kuleta generalisation zako za kibibi hapa......kama huna hoja kaa kimya si kila kitu lazima ujibu wewe......unakuwa kama wewe ndo Mungu unayesema lazima tuolewe,mimi ni mkristo,soma 1Wakorintho mlango wa saba wote,utajua kuwa hata Mungu hakusema sote tuwe na ndoa,who the hell are you to tell me what i must do???
 
Ngoja wenyewe waje humu..shauri lako mi simo! Utajua kwa nini Kikwete anapigiwa kura na watanzania na ufisadi wote anaoufanya!
Sababu ya kupigiwa kura na wanawake ni moja; Sheikh Yahya alisema mwaka 2005 kuwa Rais wetu atakuwa mwanamke!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…