Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

hahahaaaaa pale zuzu linapopiga dia kwa mambo ambayo yashatukia
yule vuvuzela angeshaongea leo ,Ila kwa kundi tulilokutana kanyamaza,Sasa hivi amezidiwa hata na kina Oscar Oscar na shaffi kwa content,Ile kuponda kila siku watu wameona hana jipya naye kashtukia
 
Mbona mlipokua mnaambiwa lile tukio la tabora shida ilikua mawasiliano la benchi la ufundi mkawa mnatetea hapa!
 
Kwa nini asiwe mzee kilomoni? Point yangu mkuu ile nafasi hapewi mtu kwa sababu ni Simba damu,uwezo unahitajika
yeah ni kweli,matola ni Simba damu,itafika mda Simba lazima iwafikirie baadaye wachezaji kama bocco ,kapombe ,Nyoni au mkude maana wanaifahamu Simba nje ndani,hata kwa mgosi si unaona same to Canavaro kwa Yanga
 
Kwa maana hiyo Gomez alionewa
 
Hivi ninyi mademu wa Matola mbona mna mpakazia sana jamaa?

Vumilia tu dada utapata Bwana mwingine.
Matola unafikiri ni kocha pale, yeye ndiye mbeba ngada na kuwalisha wachezaji unga wa ndele
 
Waswahili kwa visingizio tu mko vizuri sana hamkosi sababu kila mnapofungwa.
 
Leta ushahidi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…