Thiery Henry ukocha si kama ulivyokuwa unauza sura SKY SPORTS , hii ni kazi ngumu hasa .

Monaco nao wapunguze sera ya kuuza wachezaji bila kuwa na njia mbadala..
Huyu Henry, scholes, na yule Neville.. hawa jamaa walikuwa wanawaponda kina mourinho na wenger!.. Wakadhani kucheza na kufundisha kunafanana!.. hawakujiuliza why zidane kaondoka Madrid mapema namna ile???.. huyu Neville alikaribia kuishusha team daraja huko la liga wakamtimuaga!... saivi anapiga blah blah hapo Sky sport!... nae Henry kasimamishwa kwa muda na Monaco!.. team ya pili mwisho kutoka mkiani.!.. usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
duh! amekua Wenger na yeye...
 
Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??

Wanamuonea Henry tu
 
Munaongea msichokijua kwani in kipi kilichomfanye LEONARDO JODDIM kuondoka hapo Monaco au nae hajawa na uwezo wa kuwa mkufunzi mkuu?jamaa wameuza key player wote Fabinho,mbappe,bakayoko,Mendy,Silva n.k sasa hapo timu inaachaje kuyumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi! Umenena mkuu nadhani sasa wataelewa kuwa kocha mwenye mafanikio unahitaji nini.
 
Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??

Wanamuonea Henry tu
Hiyo timu mpe big sam na ubovu wake huohuo alafu uone kama itaendelea kubak hapo ilipo.
Kiufupi tu kubwabwaja tofauti na ukocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…