Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kuna Mtu anaitwa Louis Van Gaal hata ukimpa African lyon anaweza fika mbali, ameprove mara kibao na vikosi vibovu kufika mbali.Unapataje ujasiri wa kusema haezi fika popote kwa timu mbovu kama ile? Leonardo Jardim mwenyew kwa uwezo wake alonao kashindwa kupata ushindi kwenye mechi sita za ligi zote kapigwa af unategemea Henry afanye nini!
Kina Sam Allardyce timu makocha wote wakishindwa inashuka daraja muite yeye ataikomboa
Leo hii hicho kikosi kibovu anaweza akapewa wenger na ukashangaa timu inafika mbali.
kaanza Garry Neville sasa huyu Henry, liwe somo kwa pundits wanaobwabwaja ovyo na kuponda makocha kila siku.