THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Nyie wanaume mtakuja tuue sasa,mara mnataka chura tukitafta chura hiyo thigh gap haiwezi kuwepo,sasa mnataka thigh gap kupata hiyo mpaka ukubali kupoteza chura na kuwa kimbaumbau,mtatuua jamani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kufa unataka mwenyewe
Kuwa unavyotaka wewe siyo anavyotaka mtu
 
Mke wangu ana Thigh gap
 
Wengine tunapenda paja kama paja, liwe paja la uhakika, paja lililojaa kwelikweli, paja lililoambatana na mzigo wa hakika...halafu kifua kiwe kifua haswa...yaani kifua kwelikweli...

Hivi viuwazi vya nini hasa!!
Wewe ni ndugu yake Shekhe Kipozeo??.
 
Haingii akilini mwanamke akatengeneze thigh gap gym ama kwa operation wakati kuwa nayo means una rambo
Ni kama vile wanaume wafanye operation ama gym kutengeneza vibamia

Njoo na utafiti mwingine..hii logic inakataa
Safi great thinker.Vipi kuhusu operation,je haiwezi kutengeneza Thigh gap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…