Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Sasa mbona IMF inasema Kenya imepngeza thamani ya pesa yake ili kupandisha GDP mnapinga?, IMF inasema deni la Kenya halivumiliki lakini bado mnapinga?.
Nani amepinga. Hamna anayepinga lolote hapo
 
Hii ya Tanzania haina hata njia ya waenda kwa miguu na wala njia za maguta wala baiskeli achilia mbali bodaboda
 
Wewe ni mkenya wa kwanza kukubaliana na ukweli kwamba Kenya ina manipulate value of its money in order to increase its GDP. Mkikuyu akili timamu alishambuliwa Sana hapa alipofungua thread kuhusu hili jambo.
Nchi nyingi sana zinafanya hivyo including China ambayo inafanya opposite (yaani inadevalue currency to support export). Kenya inamaintain strong value of the currency to support the import of machines and capital goods that are critical to the industrialization of our economy.
 
Appreciation of your money results to false worth. Unaposema wewe biashara yako inathamani ya $4M wakati thamani yake halisi ni only $1M, lengo ili uweze kukopesheka pesa nyingi, matokeo yake ni kwamba biashara yako haina uwezo wa kurudisha huo mkopo, ndicho kunachowakuta wakenya kwa sasa.

Mumechukua pesa nyingi zaidi ya uwezo halisi wa uchumi wenu, wakati wa kulipa mlionyesha kwamba uchumi wenu ni mkubwa mnaweza kulipa, kumbe mliongeza thamani ya pesa yenu kwa 17%, ukweli sasa unadhihirika katika kulipa madeni.
 
$360 mln for 40 km highway vs $65 mln for 19 km! That means at $360mln JPM can give u 19km*6 i.e. 114 km!
Thika road is 50km. Please, bring us the full scope of your road before talking. Stop being an idiot.
 
Back
Top Bottom