Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Sgr phase 2AShow us one project in Kenya which has been launched two years back that costs above $200M.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sgr phase 2AShow us one project in Kenya which has been launched two years back that costs above $200M.
NangaaaMbutaa
Sasa mbona IMF inasema Kenya imepngeza thamani ya pesa yake ili kupandisha GDP mnapinga?, IMF inasema deni la Kenya halivumiliki lakini bado mnapinga?.World bank ni karatasi? Imf ni karatasi? Sio sisi tulisema, ni hao walisema kuwa Kenya haiko ligi ya Tanzania.
Kwa pesa yenu sio mkopo.Sgr phase 2A
Nani amepinga. Hamna anayepinga lolote hapoSasa mbona IMF inasema Kenya imepngeza thamani ya pesa yake ili kupandisha GDP mnapinga?, IMF inasema deni la Kenya halivumiliki lakini bado mnapinga?.
Sawa umeshindaKwa pesa yenu sio mkopo.
Wewe ni mkenya wa kwanza kukubaliana na ukweli kwamba Kenya ina manipulate value of its money in order to increase its GDP. Mkikuyu akili timamu alishambuliwa Sana hapa alipofungua thread kuhusu hili jambo.Nani amepinga. Hamna anayepinga lolote hapo
Huo ni mwanzo tu. Estim kabla hajamaliza atapewa mkataba wa kufika Chalinze hio ni 100 km.The way alivyo Magufuli hiyo ni sample tu, akiipenda utasikia "si waendelee tu mpaka Chato". Of course in his voice.
Hiyo ipo kwenye service road... Hiyo ni Highway...😅😅😅Hii ya Tanzania haina hata njia ya waenda kwa miguu na wala njia za maguta wala baiskeli achilia mbali bodaboda
Nchi nyingi sana zinafanya hivyo including China ambayo inafanya opposite (yaani inadevalue currency to support export). Kenya inamaintain strong value of the currency to support the import of machines and capital goods that are critical to the industrialization of our economy.Wewe ni mkenya wa kwanza kukubaliana na ukweli kwamba Kenya ina manipulate value of its money in order to increase its GDP. Mkikuyu akili timamu alishambuliwa Sana hapa alipofungua thread kuhusu hili jambo.
Appreciation of your money results to false worth. Unaposema wewe biashara yako inathamani ya $4M wakati thamani yake halisi ni only $1M, lengo ili uweze kukopesheka pesa nyingi, matokeo yake ni kwamba biashara yako haina uwezo wa kurudisha huo mkopo, ndicho kunachowakuta wakenya kwa sasa.Nchi nyingi sana zinafanya hivyo including China ambayo inafanya opposite (yaani inadevalue currency to support export). Kenya inamaintain strong value of the currency to support the import of machines and capital goods that are critical to the industrialization of our economy.
Lol....'.tunajenga kwa pesa zetu'
Watu wanatawaliwa kama kondoo. Eti hamkopi na hivi majuzi mlisamehewa deni Mara ya tatu.
Hiyo highway itafika kilomita 20 Kweli?Hata sisi tuweka service road zinafika 12 lanes🤣🤣🤣🤣
19.2kmHiyo highway itafika kilomita 20 Kweli?
Huyo nikiliza Full mkurupuko tu19.2km
Swali;hv hua unasoma mada kabla hujacomment?mwasit ndio maana una maswali ya kikenge kenge
Thika road is 50km. Please, bring us the full scope of your road before talking. Stop being an idiot.$360 mln for 40 km highway vs $65 mln for 19 km! That means at $360mln JPM can give u 19km*6 i.e. 114 km!
Then Kimara-Kibaha is 12 lanesUnaondoa aje service lanes wewe brainless? Service lane is part of the road
Mada imezidi ufikili wake...😅😅😅19.2km
Swali;hv hua unasoma mada kabla hujacomment?mwasit ndio maana una maswali ya kikenge kenge
Kumbe kelele Hii yote na hata haifiki nusu ya Thika Road.19.2km
Swali;hv hua unasoma mada kabla hujacomment?mwasit ndio maana una maswali ya kikenge kenge