Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Hivi mombasa port ishanyakuliwa tatari? Aisee east africa wachina wanainyemelea
Exim Bank ya China kasitisha mikopo Africa..Hiyo lazima ikupe mwanga zaidi...Dalili ya mvua ni mawingu...😅😅😅
 
. BTW,mmeshindwa na Rwanda. Mnapata highway yenu ya kwanza sasa ,flyover mlizindua juzi na bado mnalijinganisha na Kenya? Geza Ulole huwa hapati usingizi akiwaza Kenya. Anafungua nyuzi saa saba za usiku.Nahurumia mke wake na watoto
Six lanes Dar zimetapakaa, kila unapo ona BRT ujue ni six lanes tatizo mnavaa miwani za mbao nakujifanya hamuoni. Hapa ni Thika na Kimara sasa ume anza kuomba msaada kutoka Kigali [emoji23].

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Thika Highway ni 6 lanes while Kibaha Highway ni 8 lanes ukiweka na service road inkauwa 12 lanes...Huyu nae kazinduliwa leo...🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 973001
I am sure hata ukishidwa na mengine unajua kuhesabu
dnThikaRoad0204b.jpg
DnRUurJXgAEk3hd.jpg
 
Kuna shida kubwa sana ya kufananisha a complete road and another under construction ama under design. At best their idea is comparable na Port Reitz road Mombasa juu hata ya outering hawaezi fikia. If it will cost that much at least we can compare about value for money
 
Kichwa kimepinduka
leo hii wakenya niwakuanza kulialia na kujitetea kwa Watanzania Hahaha
Chapa Magufuli chapa hii Nyani
Habari ya thika Fyekelea mbari
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]...
Then%2Byou%2Bshould%2Bpost%2Banother%2Blaughing%2Bgif%2Bbecause%2Bnicks%2Blaugh%2B_3e506c57bb0...gif
 
Wamecatch feelings juu yako. Wewe ndio dawa yao
Na tukiwaambia Tz ipo in the 90s wanakasirika. Sisi yetu ilijengwa 10 years ago na hatulihi kelele tena 50km. Hii yao wafananishe na outering ama Waiyaki way.
 
Kimara-kibaha high way it ll be unique compare with any other high way in east Africa. The best high way ever
 
Ahsante kwa kutuletea na service road...🤣🤣🤣 Alafu kutoka Lesambu to Thika ni 6 lanes..Elewa mada iliyopo mezani..Sisi yete ni complete 8 lanes bila kuweka service road
kweli una mapungufu, ukikosa kuhesabu service lanes unaona lanes ngapi? Yenu yote ni 19 km hivo ya Lesambu(ni wapi huku) hadi Thika inakuhusu nini? Si ulinganishe 19km vs 19km
 
Back
Top Bottom