Thika road foleni/jam bumper to bumper

Thika road foleni/jam bumper to bumper

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna yule king'ang'anizi anaitwa Barbarosa huwa anabishia kwamba hapakua na umuhimu wa upanuzi wa hii barabara, pamoja na huo upanuzi bado magari na foleni zinazidi kuwa balaa.

Hii picha hapa eneo hili wakati likiwa tupu bila magari mengi, halafu picha inayofuatia ni jioni ya leo magari hayaendi eneo hilo hilo jameni, mengi hadi kero.

DN+THIKA+ROAD+0206A.4+px.jpg

edited2.jpg

edited1.jpg
 
100,000 new vehicles a year are bought by kenyans 19,000 of which are brand new
 
tuusan true!

More than 2/5th of the total bought remain in Nairobi in 5yrs Jams will last a whole day if we dont build more bypass and flyover
 
Jiji la Nairobi linakisiwa kuwa na magari mangapi barabarani?
Zipo taarifa ambazo sijathibitisha kuwa Dar es Salaam inakisiwa kuwa na magari 500000!
 
Nasubiri foleni ya kufa mtu baada ya ujenzi wa fly-over ya TAZARA junction, inakuwa wataalamu wetu wanafanya study yenye mapungufu hivi?unaboresha sehemu moja tu ya junction magari yaweze kupita bila kusubiriana lakini huko yalikotoka na yanakokwenda hali ni ile ile!! Nilitegemea kuona upanuzi unakuwa katika barabara yote thangu inakotoka na inakokwenda.
 
Jiji la Nairobi linakisiwa kuwa na magari mangapi barabarani?
Zipo taarifa ambazo sijathibitisha kuwa Dar es Salaam inakisiwa kuwa na magari 500000!

Kwa sasa sina taarifa, ila miaka nane iliyopita, 2008 inakisiwa magari Nairobi yalikua zaidi ya 300,000
Traffic Situation
 
100,000 new vehicles a year are bought by kenyans 19,000 of which are brand new

Halafu sijui nini kimefanyika Mombasa road, nilikua nimekawia kwa muda mrefu tangu nitumie hiyo barabara, juzi nimepitia hapo na sikukwama kwa jam. Nilishangaa because I was prepared to encounter mother of all traffic jam.
 
Public transport should take over .....gov inabidi iweke mfumo mzuri na rahisi wa usafiri wa umma lasivyo hali utazidi kua mbaya siku za usoni
 
The land of Ruto and Uhuru Nimei miss Nairobi kwa kweli,hasa mademu zangu pale Hurlingham,Yvone,Mwende,Sarah na Jovita ngoja niwatafutie hela na come huko before christmass.
 
The land of Ruto and Uhuru Nimei miss Nairobi kwa kweli,hasa mademu zangu pale Hurlingham,Yvone,Mwende,Sarah na Jovita ngoja niwatafutie hela na come huko before christmass.

Ulikua una-hang out na madem wa Hurlingham? Hivyo una class ya kiaina wewe sio wale Wabongo hutafuta guest houses Kibera halafu wanaanzisha mada humu.
 
Ulikua una-hang out na madem wa Hurlingham? Hivyo una class ya kiaina wewe sio wale Wabongo hutafuta guest houses Kibera halafu wanaanzisha mada humu.

Mimi naja huko this christmas kwa dem wangu wa Gachie,ako poa sana,ananipa kitu tamu sana
 
, mkijaga tz huwa mnaokota magoma ya kawaida sana mkuu, mnaacha kazi za maana, sijui mnaogopaga nini.

Basi itakua sijui wewe hukutana na Wakenya wagani maana hamna hata siku moja ushawahi kuongea chochote kizuri kuhusu Wakenya wanaokuja huko. Tatizo lenu kila mtu akija asieongea Kiswahili vizuri huwa mnaona Mkenya. Au pia labda umezoea kukumbana na wazamiaji wa kitaa na wasaka tonge wanaojiita Wakenya waliojificha mitaa yenu ya mabanda. Naomba utokelezee mjini kwenye mataa ukumbane na Wakenya waliopo kwenye corporates ujifunze kitu.

Mkenya aliyekuja kirasmi huwa ana class na ladha, tena hutamba kibabe na kudatisha watoto wenu wa maana sio vicheche. Kwanza Kingereza kilichonyooka na utenda kazi wetu wa kujituma na kutokua wabahili hufanya tunawavua watoto wenu wa kweli.
 
MK254,
Katika ubora wake kuchangamsha baraza la Jamiiforums/Kenya. Maana saa nyingine baraza hupooza likikosa wachangiaji nguli wa kutuamsha tujitokeze angalau kutia maneno mawili matatu.
 
Ulikua una-hang out na madem wa Hurlingham? Hivyo una class ya kiaina wewe sio wale Wabongo hutafuta guest houses Kibera halafu wanaanzisha mada humu.

Mara nyingi nilipokuwa naenda Nairobi nilikuwa nafikia CBD,japo nina miaka zaidi ya kumi toka nimeanza kwenda Nairobi huwa sifahamu maeneo mengi ya Nairobi huwa ninakaa hotelini tu mpaka jamaa yangu mmoja aliekuwa akifanya kazi EAC ndio alioni introduce kwa hao mademu kwani huyo jamaa yangu alikuwa mwenyeji wa huko Nairobi westland na alikuwa extrovert guy na mimi vice versa ,hata huko Kibera unaposema nilitamani sana kwenda tembea lakini nilogopa baada kusikia notorious stori zake,Mara nyingi nilikuwa nafikia Parkside au Kenya Comfort na siku za mwisho nikawa nafikia Pale Kima Hotel,huwa nasikia raha sana ninapokuwa Nairobi.
 
Back
Top Bottom